Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Martial is back??
 
Chini ya EtH walau mwanga unaanza kuonekana japo ni mapema Sana ,,,,,
Kujituma na morali imekuwa juu sana

Tukizichanga karata vzr, January walau tupate target man mmoja top four uhakika ,,,,

Martial na rashyy sio wa kuwategemea,,, inconsistent na majeraha yasiyoisha! Kama martial Hana uwezo wa kucheza game 10 consecutively, hii Ni hatari Sana kwa ustawi wa timu.!!!

Cr7 apewe game zisizo na presha au walau apewe minutes timu ikiwa inaongoza,,, kwa umri wake sio wa kumtegemea pale mbele Kama main man!

Europa kwa Moto Sana, wacha tuone itavyokuwa,,,, juve, Barca, arsenal, Roma (hatihati) n.k !
 
Yes! niliona anafanya mazoezi.
Martial is back??
Amerudi ila hajasafiri na kikosi.
Kwa mujibu wa laurie whitwell

Antony + Anthony Martial not part of #MUFC squad travelling to Spain for Real Sociedad game due to injury, both working on individual plans at Carrington.

Jadon Sancho stays home ill.
 
Facundo Pellistri’s agent Edgardo Lasalvia: I think that with a good World Cup, as we think he will have, his departure is imminent.

#GlazerOUT
#GGMU[emoji123][emoji41]

manutd View attachment 2404797
Huyu dogo ni top talent ila sijui makocha wanaokuja pale united huwa wanaona kasoro gani toka kwake.
Binafsi namkubali sana dogo.
 
Huyu dogo ni top talent ila sijui makocha wanaokuja pale united huwa wanaona kasoro gani toka kwake.
Binafsi namkubali sana dogo.
Mimi nilijua akija ten hag ndio atakuwa Kocha mwenye kiu ya kutengeneza timu kupitia rasilimali zilizopo ikiwepo hawa vijana wadogo ili wa Gain confidence lakini cha ajabu hata Game time hawapati too sad [emoji37].

NB:SILAUMU UAMUZI WA KOCHA ILA NINGEPENDA NIONE HAO VIJANA WADOGO WENYE KIU YAKUONYESHA VIPAJI VYAO WAKIPEWA NAFASI [emoji120].

#GGMU[emoji123][emoji41]
 
#MUFC will play Real Betis in a second December friendly game in Andalucia, Spain on the 10th of December.

#GlazerOUT
#GGMU[emoji123][emoji41]

manutd
 
Saa: 20:45
Real Sociedad vs Manchester United

Utabiri: Real 1 Manchester United 3 (Fred to Score)
 
Erik ten Hag on Diogo Dalot: “I hope he keeps progressing, not only stick to this level. We're really happy with the development of Diogo”. [emoji837]

“New right back? I know every club at the top level always needs backup and competition”, ten Hag added.

#GlazerOUT
#GGMU[emoji123][emoji41]

manutd
 
  1. anahitaji matokeo sahihi ndani ya uwanja,
  2. man utd hawana utamaduni wa kumvumilia kocha anayeshindwa kupata nafasi ya 4.
  3. man utd wanaangalia zaidi matokeo na si maendeleo
  4. anahitaji kutengeneza muundo mpya wa kiuchezaji
  5. anahitaji kujenga himaya mpya ya kiuongozi na utawala
  6. namba 1, 4, na 5 yatakapowezekana itakuwa ni rahisi zaidi kwa upande wake kuingiza wachezaji vijana katika kikosi cha kwanza
  7. AJAX haifanani na manchester united kiutamaduni.
  8. namtamani zidane Iqbal kuliko unavyomtamani wewe Garnacho
  9. tuwe na subira,
 
Habari mkuu.
Kwangu mimi nadhani point #1 inaweza kuwa sababu kubwa zaidi hivyo anaogopa kwenda na vijana kama majaribio ikizingatiwa huwa hatumalizi game mapema ili tuwe huru kuwapa muda vijana hasa dakika za mwisho.

Nisaidie kujua kwanini Elanga upande wa kulia kama mbadala wa Anthony badala ya Pellistri ambaye binafsi namuona kiuwezo yuko juu ya Elanga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…