Alicheza na samata huyu genk na ndie aliekua anamsugulisha benchi.....Tufanye dili la kumchukua Trossard mapema sana.
Hajawahi kucheza Leverkusen, aliyeenda Leverkusen ni dogo mmoja Mjamaica jina lake Leon BaileyAlicheza na samata huyu genk na ndie aliekua anamsugulisha benchi.....
Mara nyingi sub ya trossard alikua anaingia popa ila dogo kahangaika maana aliuzwa leverkusen ndio akaja epl
Trossard alipotoka Genk alienda Brighton moja kwa mojaAlicheza na samata huyu genk na ndie aliekua anamsugulisha benchi.....
Mara nyingi sub ya trossard alikua anaingia popa ila dogo kahangaika maana aliuzwa leverkusen ndio akaja epl
Unafki wa New World Order huuBaada ya kuwepo captain magwaya, nilijua hii ngome sasa wagonga nyundo labda waje na vifaru vya Russia ila sio nyundo zao.
Cha msingi point 3, tukutane next weekend
Utakuwa unamzungumzia Leon Bailey ndiye aliyeuzwa Bayer Leverkusen kwa sasa yupo Aston Villa.Alicheza na samata huyu genk na ndie aliekua anamsugulisha benchi.....
Mara nyingi sub ya trossard alikua anaingia popa ila dogo kahangaika maana aliuzwa leverkusen ndio akaja epl
Front three na Midefield yetu hawaretain possession kiujumla timu yetu siyo press resistant ukikutana na timu inayopress sana.Man utd inashida gani mbona inacheza mpira slow sana, hawana kasi na wanaruhusu kushambuliwa zaidi na wapinzani, tatizo nini kwani jamani
Halmanusura wasawazishe jana wale jamaa
Huwa naona timu yetu inahitaji watu wenye roho mbaya kama Robin Gossen.Erik ten Hag on Dalot: "I have to mention Man Utd need two good full-backs because we have a lot of games to play."
---‐-------'
Nileteeni jeremie frimpong wa bayer leverkusen. Ndicho anachomaanisha ten hag.
Kwaheri wan bissaka
Yes Dalot ameimprove sana na mara nyingi amekuwa akicheza vizuri hata kama timu haijaperform sana.Dalot....most improved player under EtH.
De Gea kwa attributes za modern goal keepers hana ni kama Guillermo Ochoa tu.Waliokuwa wanamponda ni wajinga tu..
Walikuwa hawajui ni mzuri kwenye nini..kila siku anawa-prove wrong.
Siku kama hizi hutokea katika football ligi ya Uingereza ina vilabu vingi sana ambavyo kwenye ligi zingine wangekuwa title contenders.West ham united walikuwa bora kuliko manchester united.
Baadhi ya mechi unahitaji alama 3 haijalishi umezipataje.
Kama ulifanyiwa vile mti mbichi ( liva pool ,arsenal) vp kwa mti mkavu? GLORY GLORY UTDNyie wahuni mmewakazia WHU
Fred gani unaemzungumzia huyo?CR 7 jana alilazimisha sana mwili wake kufanya pressing ili kuonesha umuhimu wake lakini bado mwili ulkua unagoma tu.
Luke,Dalot,De gea & Licha walijitahidi sana.
Maguire,CR7,Fred, sioni umuhimu wao msimu ujao.