Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United would consider letting Cristiano Ronaldo leave for FREE in January if contract is mutually terminated.


#TheAthleticUK
#GlazerOUT
#GGMU[emoji123][emoji41]

manutd
 
Hawa washambuliaji weusi wengi wao huwa wazito sn na sio creative.
 
Haitobadilisha kwamba jamaa ammecheza soka kwa mafanikio makubwa sana na kila mtu anaejihusisha na football dunia kuna wakati anatamani angekua yeye(Ronaldo).Habari za pele na maradona tunazikubali lkn kwa Generation hii. RONALDO DID what is needed to be done .Erik ten hag maybe anaumia pale manchester inaposhinda na Ronaldo akiwa sehemu ya timu pale vyombo vya habari vinapo mpa Christiano airtime zaidi ( Ronaldo helped mufc to win agaist .......) i think ndo vitu hataki kuviona anataka yeye ndo awe front page
 
Fans wa Ronaldo mna shida sana,ingekua hivyo hadi leo Pele angekua anapata namba
 
Kweli kabisa, ila ujinga aache na akubali umri umeenda japo bado yuko yuko fit.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…