Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hv Ronaldo ni Ujinga gan kafanya, kuna namba Tisa gan pale United ya kumkarisha Ronaldo bench ? Magoli mengi yanafungwa na midfielders , ina mana kocha kakubali kumweka Ronaldo bench ili midiflders wafanye covering .... Ngoja tuone
 
Ronaldo muda umemtupa mkono, kiwango kimeisha.
Fans wake mnatakiwa mkubaliane na hilo.
Ndio maana hata window iliyopita hakuna Timu ilileta ofa kumchukua.

Hata haina haja kuingia kwenye stats kujua jamaa sio yule wa enzi zake.
Kama unafuatilia mechi, utaona kabisa Ronaldo hana impact kabisa.

Umeuliza ni Ujinga gani kafanya.

1. Wakati timu iko pre-season, hakuwa na timu.

2. Karudi mechi ya Valecano, alivyofanyiwa Sub-off, kaondoka kabisa uwanjani( na wechazaji wengine baadhi). Kocha kawaonya.

3. Juzi kagoma kuingia Sub na kaondoka Uwanjani.

Mtu mzima ana miaka 37 anafnya vitu vya kitoto kama hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hv Ronaldo ni Ujinga gan kafanya, kuna namba Tisa gan pale United ya kumkarisha Ronaldo bench ? Magoli mengi yanafungwa na midfielders , ina mana kocha kakubali kumweka Ronaldo bench ili midiflders wafanye covering .... Ngoja tuone
Ujinga mkubwa tu, kwanza kocha amethibitisha kuwa aligoma kuingia uwanjani na akaondoka kwenda vyumbani kabla ya mchezo kumalizika. Mlitaka kocha avumilie huo utovu wa nidhamu na amshike shike mashavu kama mtoto mchanga kisa ni 'Ronaldo'?

Wanafunga akina De bruyne na Gundogan, leo akifunga Bruno na Fred ni tatizo?

Tumuache kocha afanye kazi yake.
 
Erik ten Hag: “I count on Cristiano Ronaldo for the rest of the season”.
#MUFC

“He’s out for this game, and then we continue. I'm open for that and for me that’s a strike. Cristiano remains an important part of the squad and I count on him for the rest of the season”.

#RonaLdoOUT
#GlazerOUT
#GGMU

manutd
 
Erik ten Hag on Man Utd signing new striker in January: "I count on Cristiano Ronaldo, so in this moment it is not an item".
#MUFC

Will Ronaldo be there for the rest of the season and do you want him to stay for the rest of the season?

"Yes, both", ten Hag said.

#RonaLdoOUT
#GlazerOUT
#GGMU

manutd
 
Pele ana mafanikio makubwa kuliko Ronaldo,
Maradona,
Messi.,
But wote hao walikuwa na nidhamu kwa waalimu wao. Ronaldo is a mee, but hana adabu

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hv Ronaldo ni Ujinga gan kafanya, kuna namba Tisa gan pale United ya kumkarisha Ronaldo bench ? Magoli mengi yanafungwa na midfielders , ina mana kocha kakubali kumweka Ronaldo bench ili midiflders wafanye covering .... Ngoja tuone
Ronaldo kaanza mechi ngp msimu huu??? Na katka hzo mechi alizoanza kafanya lipi la maajab.. tukubali tukatae kila zama zina mwisho wake kashamaliza mpira mbwa yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…