View attachment 2392132
Conte ni mjanja mjanja sana.
Ukiichukulia kauli hii technically utaona Conte anawapa presha Ten Hag na benchi lake kumuanzisha Ronaldo siku ya leo, mtu ambae ni rahisi kumkaba, sio mzuri kwenye possession na kibaya zaidi ha press effectively.
Ten Hag akiingia huu mkenge leo ameyakanyaga. NDOIGE lazima iwahusu!