You are probably right. But you can take in account Wigan were surviving the relegation battle by threads in two or three consecutive seasons before going down.Wigan walishinda FA CUP now wako Championship,na inaweza kupita hata miaka 10 wasirudi.Tumepata point 6 na magoli 6 kwa Swansea
Atakuwa anajiuliza yaani nimekimbia Gooners for this? Kwa mwendo huu anaweza akakosa World Cup. Mnajua atarudi kucheza mechi 2, 3 afu ataumia kwa mwezi au miezi 3. Huyo ndo Rapist Van PGet well RvP, goons' killer....View attachment 131707
Ila nadhani hana sumu....au unanishaurije mkuu?
Swansea will survive. I can bet your life on this
Leo Moyes kaniudhi saanaaa
Mshikaji ulishawahi kuwasikia wapenzi (british) wa Man utd wanavyo wa rate Welbeck na Valencia?Get real dude...View attachment 131708View attachment 131709
Atakuwa anajiuliza yaani nimekimbia Gooners for this? Kwa mwendo huu anaweza akakosa World Cup. Mnajua atarudi kucheza mechi 2, 3 afu ataumia kwa mwezi au miezi 3. Huyo ndo Rapist Van P[/QUO
Utakalia hayo hayo mwenzio tayari ana medali ya ubingwa,alichoka kuwa msindikizaji kwa miaka 7 na mtamchukia sana maana kila akikutana na nyie lazima awapige goli.
Mshikaji ulishawahi kuwasikia wapenzi (british) wa Man utd wanavyo wa rate Welbeck na Valencia?
Atakuwa anajiuliza yaani nimekimbia Gooners for this? Kwa mwendo huu anaweza akakosa World Cup. Mnajua atarudi kucheza mechi 2, 3 afu ataumia kwa mwezi au miezi 3. Huyo ndo Rapist Van P[/QUO
Utakalia hayo hayo mwenzio tayari ana medali ya ubingwa,alichoka kuwa msindikizaji kwa miaka 7 na mtamchukia sana maana kila akikutana na nyie lazima awapige goli.
Bora umwambia huyo goon.....
Atakuwa anajiuliza yaani nimekimbia Gooners for this? Kwa mwendo huu anaweza akakosa World Cup. Mnajua atarudi kucheza mechi 2, 3 afu ataumia kwa mwezi au miezi 3. Huyo ndo Rapist Van P
Utakalia hayo hayo mwenzio tayari ana medali ya ubingwa,alichoka kuwa msindikizaji kwa miaka 7 na mtamchukia sana maana kila akikutana na nyie lazima awapige goli.
Feb 12 tutakavyopiga ubaya mrefu tukate ngebe
Tumeshazoea hizo ndoto zenu kila msimu mnaota
Ndoto huwa zinatokea kuwa kweli. Miaka yote huwa tunaota tutamaliza ligi way ahead of you. Angalia mambo yanavyojipa msimu huu. Hata Liverpool, Spurs na Everton watamaliza juu yenu. Muda si mrefu mtaanza kugawana jezi kama PortsmouthTumeshazoea hizo ndoto zenu kila msimu mnaota
Ndoto huwa zinatokea kuwa kweli. Miaka yote huwa tunaota tutamaliza ligi way ahead of you. Angalia mambo yanavyojipa msimu huu. Hata Liverpool, Spurs na Everton watamaliza juu yenu. Muda si mrefu mtaanza kugawana jezi kama Portsmouth