Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ninausongo sana wa kuiona combo ya kibrazir pale kati. Hope cesa na Fred watatuonyesha chochote cha kutushawishi leo. But Ten hag aanze kujiamini sasa, mechi kama hii tia hivi vitito vikinazidane, garnacho nk viendelee kujiamini. yeye anaweka full mkoko...
 
Mwenyewe kanishangaza yuko home, ananafasi nzuri tu ya kusonga mbele na tayari kesha win trust kwa mashabiki na bodi pia but daah kawa mkavu Mno bhanaa..
Nafasi nzuri ya kusonga mbele wapi?

Wakati Sheriff akishinda,Man u akapigwa pressure itakuwa kubwa kwa United
 
Kwa hiyo tumekubaliana pasi na shaka kuwa kipa wa Omo ndo MOTM sio??
Basi sawa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…