Habari njema hii
Kwa umri na uzoefu wa Maguire sifikirii sana kama ataonesha chochote popote atakapokuaHizi timu zinavyojua kutengeneza vipaji anaweza kwenda na kiwango chake kikapanda na kuwa tofauti kabisa
Magwaya hayupo sawa kisaikolojia,hawez kukaa sawa ,labda aende timu zisizo na preshaKwa umri na uzoefu wa Maguire sifikirii sana kama ataonesha chochote popote atakapokua
Conte mzee wa kuvizia kauntaEddie Howe
Antonio Conte
Graham Potter (ashatupa vipigo vitakatifu akiwa Brighton)
Man city walituzidi katika ubora wa mchezaji mmoja mmoja na ubora wa kimbinu.GGMUhivi hawa man city tambala bovu walitufungaje
Hii man u ilipaswa ishiriki uefa aisee
Man city walituzidi katika ubora wa mchezaji mmoja mmoja na ubora wa kimbinu.
Magoli matatu waliyotufunga man city yalitokana na makosa ya mchezaji mmoja mmoja na magoli mengine tulizidiwa mbinu tu.
Mchizi boti niaje ..muna timu mbovu sana yani munacheza na wachovu kama everton alafu munashinda tubao tuwili tu??! Nyie bado ni matakataka sanaKumbe jana tulishinda, sio?
Wakati tunacheza na Everton ndiyo ilikuwa timu iliyoruhusu magoli machache katika ligi. Walikuwa waneruhusu magoli 7 tu, tatizo umekariri jinsi Everton walivyomaliza msimu wa 2021/22 sasa hivi defensively wanafanya vizuri.Mchizi boti niaje ..muna timu mbovu sana yani munacheza na wachovu kama everton alafu munashinda tubao tuwili tu??! Nyie bado ni matakataka sana
Kylian Mbappé, not happy with Paris Saint-Germain as current situation is really tense. He wants to leave the club, as soon as possible.
Jamaa wajanja sana walimlaghai ili asaini tu mkataba mpya na wamefanikiwa sasa ivi ili umpate mwaga mihelaNasikia Dogo anataka kuchomoa Pale PSG haraka iwezekanavyo vP tukimchukua huyu?..?Kylian Mbappé, not happy with Paris Saint-Germain as current situation is really tense. He wants to leave the club, as soon as possible.#Mbappé
#FabrizioRomano
hahahahahaMechi tatu zijazo za Manchester United
Newcastle (Home)
Tottenham (Home)
Chelsea (Away)
Wanakuja tu kutuvulugia huku kakombe ketu wakaze tu huko huko.Europe league loading........
- Barcelona
- Ajax
- Juventus
Europa msimu huu itakuwa tough kiasi..Europe league loading........
- Barcelona
- Ajax
- Juventus