Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kiukwel martial alivyotoka mechi imebadilika ule utawala wa kumiliki mpira sana umepungua sasa kidogo everton wameanzza kucheza
 
Ball possession everton 5% man utd 95%
Mwambieni 10 Hag sisi kama mashabiki wa United hilo pira biriani sisi hatulitaki awaachie kina Arsenyani.
Man United tunataka mpira magoli, utamaduni wetu ni pasi mbili, tatu inapigwa ndefu wanaume wanaweka wavuni.
Mnaomdiss Anthony endeleeni na kazi yenu na yeye kila akiwa uwanjani kazi yake ni kuwaprove wrong.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…