Ili kubadilisha culture mbaya ya team lazima ubadilishe administration (glazers out) then wachezaji waliozoeleka katika mfumo wa kufail.
Kumbukeni alichofanya Fergie in 80s. Alikuta wachezaji wametengenza ka utamaaduni kwao . Walikuwa na Usharabaro na Viburi pia washazoea kufail na walikuwa wamesha ridhika. Ikabidi mzee awaondoe mmoja mmoja.
Kwa hali yetu hii tunahitaji wafuatao:
1: Keeper mpya. Tupate fresh start, de gea sasa atafute mahala pengine.
2: Beki wa kulia mpya. Dalot is good ila sio good enough, mtaona tu pembeleni.
3: Beki wa kati mpya. Nunua CB kijana anaechipukia mwenye uwezo mkubwa ili ampe challenge varane kwa maana varane huwa ayuko fit 100% per season.
4: Midfield mwenye uwezo mkubwa wa pressing na passing.
5: Striker World Class mwenye kasi na nguvu.
Hatuwezi kuendelea kumtegemea
de gea kama goalie.
eriksen, fred, mc t kama midfield
Ronaldo ndio huyo anaondoka, martial na rashy ndio hao wako inconsistent.
Kama ni uwezo wangu next summer uza de gea, maguire, lindelof, mc t, fred, tuanzebe, spider, van de beek,
Then,
Dalot awe backup RB
martial awe back up striker,
Rashy awe back up winger
Garnacho awe back up winger
Mainoo awe back up central midfield
Zidane awe back up central midfield
Eriksen awe back up attacking midfielder