What??Munaekwa bao sita ninyi ni timu au takataka
City wanajiliwaza na Grealish. Ten hag Hana huo ujingaBellingham [emoji91][emoji91][emoji91]
Umesahau?Munaekwa bao sita ninyi ni timu au takataka
Sema Ronaldo sio mtu wa riots , ni mtu wa fursa vinginevyo migomo bard ingeanza , na huyo kocha mwez wa Kwanza mngemkataaAsernal wangejua wangekuwa wanakaya kimya. Ninachopendea ten Hag hapendinkucheka na Mtu. Cr7 Kaa pembeni maneno meeengi hakuna. Cha muhimu hakuna kumuogopa MTU ndani nje ya uwanja
Yani hao ndiyo wa kutolea hasira, wasipate hata goli halafu wapigwe kuanzia magoli 7.Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha[emoji16][emoji16]
Prediction
Manchester united 6 vs omonia Nicosia 1
Time
19.45
Fikeni bila kukosa muone pira maharage[emoji16]View attachment 2378427
My Starting XI Today
========
De Gea
Dalot Lindelof Martinez Shaw
Fred Casemiro Erisken
Antony Martial Rashford
=======
GGMU.
EtH inabidi amfanye Casemiro his regular starter..otherwise hakukuwa na haja ya kumsajili.
Shaw apewe nafasi,Malacia bado sijamuelewa ukiacha ile gemu ya Liverpool..kusukuma mashambulizi mbele bado sana..Shaw akirudi kama alivyokuwa msimu juzi itasaidia sana..Otherwise ni kuingia tena sokoni kutafuta LB.
Rashford kama Striker ni uozo mtupu..but kuna some evidences kuwa akicheza na Martial kuna namna anaimarika..EtH aanzie hapa..
Ronaldo anaanza leo.My Starting XI Today
========
De Gea
Dalot Lindelof Martinez Shaw
Fred Casemiro Erisken
Antony Martial Rashford
=======
GGMU.
EtH inabidi amfanye Casemiro his regular starter..otherwise hakukuwa na haja ya kumsajili.
Shaw apewe nafasi,Malacia bado sijamuelewa ukiacha ile gemu ya Liverpool..kusukuma mashambulizi mbele bado sana..Shaw akirudi kama alivyokuwa msimu juzi itasaidia sana..Otherwise ni kuingia tena sokoni kutafuta LB.
Rashford kama Striker ni uozo mtupu..but kuna some evidences kuwa akicheza na Martial kuna namna anaimarika..EtH aanzie hapa..
Whatever the case but he is not what i want to see today.Ronaldo anaanza leo.
Tutawapakia mkongo wakija OT.Oya, wanaume wawili kupiga bao tatu tatu mlifika kileleni au tuongeze wanaume wikiendi?[emoji23][emoji1787][emoji41]
De Gea kama atakubali kuwa backup goalie kwa punguzo la mshahara basi anapaswa kubaki.Ili kubadilisha culture mbaya ya team lazima ubadilishe administration (glazers out) then wachezaji waliozoeleka katika mfumo wa kufail.
Kumbukeni alichofanya Fergie in 80s. Alikuta wachezaji wametengenza ka utamaaduni kwao . Walikuwa na Usharabaro na Viburi pia washazoea kufail na walikuwa wamesha ridhika. Ikabidi mzee awaondoe mmoja mmoja.
Kwa hali yetu hii tunahitaji wafuatao:
1: Keeper mpya. Tupate fresh start, de gea sasa atafute mahala pengine.
2: Beki wa kulia mpya. Dalot is good ila sio good enough, mtaona tu pembeleni.
3: Beki wa kati mpya. Nunua CB kijana anaechipukia mwenye uwezo mkubwa ili ampe challenge varane kwa maana varane huwa ayuko fit 100% per season.
4: Midfield mwenye uwezo mkubwa wa pressing na passing.
5: Striker World Class mwenye kasi na nguvu.
Hatuwezi kuendelea kumtegemea
de gea kama goalie.
eriksen, fred, mc t kama midfield
Ronaldo ndio huyo anaondoka, martial na rashy ndio hao wako inconsistent.
Kama ni uwezo wangu next summer uza de gea, maguire, lindelof, mc t, fred, tuanzebe, spider, van de beek,
Then,
Dalot awe backup RB
martial awe back up striker,
Rashy awe back up winger
Garnacho awe back up winger
Mainoo awe back up central midfield
Zidane awe back up central midfield
Eriksen awe back up attacking midfielder