Hawa mashabiki wa manure huwa hayaeleweki wanataka nini, hata kipindi cha Ole walisema bora Mourinho, wakimfukuza 10 hag baadae watamkumbuka. Man U mkubali mpitie kipindi cha kujenga timu msitake mafanikio ya haraka haraka, timu sasa hivi EPL ni nyingi zinazoshindana kwa ajili ya ubingwa ndo sababu ligi inakuwa ngumu sio kama zamani ambapo timu nne tu ndo zilikuwa zinapambania ubingwa, msimu huu imeongeza Newcastle nayo inataka ubingwa
Uyu dogo halland katutolea maneno ya shombo sana kwanza anakwambia united haikua timu ya hadhi yake kuichezea pili kanasema sis kalikua kanatutamani mda mrefu kweli katuoneshe ngoja tumuone hiyo Leo