Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kocha la Mpira ETH kwny first press alipoulizwa anazungumziaje ubora wa Liverpool na Man City na ana mpango gani kukabiliana nao,

Alijibu
"WE SHALL BATTLE THEM ALL" 💪🏾💪🏾.
Kauli ya kiume sana hii, na tushaanza shughuli.

Morale ikiwa juu hata mambo yanayoonekana kutowezekana huwa yanawezekana.

Sema tulimiss sana timu la mpira, hatujawa uwanjani muda mrefu.

GGMU 💪🏾💪🏾
 
Nyie vibwengo nyumbu mkishinda Leo naacha kutumia jf [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Man city jinsi anavyotufukuza, anaweza akaharibu TITLE CONTENDER

Tatizo nyie wapuuzi mnakelele sana

Bora mfe tu, man city nitamshughulikia mwenyewe

City 7 vs nyumbu 0
Pumbavu thanaa 😁😁😁😁
 
Ushindi unawezekana kama mtaibeba OT kwenda nayo Etihad, timu yoyote inaweza kucheza Counter km kuna support ya mashabiki nyuma.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Will Jr: unateseka ukiwa wapi?
Hivi kati yako wewe na Partey nani mwenye low IQ?

Kama Arteta mwenyewe kathibitisha ubora na uimara wa kikosi cha Man United msimu huu wewe ni nani wa kuibeza timu kubwa zaidi hapa duniani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…