Manchester United (Red Devils) | Special Thread

[emoji626]October Games [emoji95][emoji95]

1 Oct
[emoji91] Arsenal vs Tottenham

2 Oct
[emoji91] Man City Vs Man U

08 Oct
[emoji91] Arsenal vs Liverpool

15 Oct
[emoji91] Liverpool vs Man City

18 Oct
[emoji91] Arsenal vs Man City

[emoji91] Man U vs Tottenham

[emoji91] Liverpool vs Westham

22 Oct
[emoji91] Chelsea vs Man U

Terrorism in October!!!
 
Aseno akitoboa mwezi wa 10 kileleni, apewe kombe.
 
Mnamuamini huyu kocha kwa mpira was kuvizia kaunta? Ana tofaut gan na Ole Gunnar,Jose Mourinho?
Ten Hag aliswitch kutumia Counter baada ya kuona timu yake ilikuwa haipati matokeo mazuri kwenye mfumo alioanza nao.


Lilikuwa ni jambo zuri sana kubadili mfumo ili apate matokeo kujenga confidence ya timu unaweza kuona pamoja na kutumia counter lakini pia ameanza kubadilisha taratibu.

Kingine kinachofanya atumie Counter ni Striker wake aliyetegemea kumtumia kuwa injured hivyo kulazimika kumtumia Rashford kama CS.
 
Chief-Mkwawa naheshimu sana mapenzi yako binafsi kwa Martial, natambua na kuheshimu ubora wa Martial akiwa fiti.


Tabu yangu ni kwamba Martial huu ni msimu wa tatu sasa anacheza robo tu ya mechi za ligi zingine zote anakuwa injured hili ni tatizo sana kwa timu kubwa kama Man United kuwa na striker ambaye muda mwingi anatumia kitandani na familia yake akiuguza majeraha.

Kwa msimu huu tulihiataji mno striker kuliko ilivyo kawaida Patrick Schick, Lautaro Martinez au Andrea Belloti.

Unasema tulihitaji winger wa kulia hivi Sancho tulimsajili kuja kucheza nafasi ipi ??
 
Izi ndio akili zetu fans wa bongo hata ukienda kule majukwaa ya simba na yanga utazikuta zimejaa tele
 
Ok bruh ngoja tuone kama atabadilika 👍
 
Glazzers washafanya mambo yao, net loss £115M
Mishahara minono itawapasua (Sancho, Varane na Ronaldo). Na ile fukuza-fukuza ya Ole na Rangnick ndiyo imechangia ku-spend zaidi ya mapato.

Dirisha hili tena wamemwaga pesa za kutosha ukiongeza na mishahara ya wachezaji wapya hesabu ijayo kuna net loss tena.
 
Kifupi mkuu Sancho ni inside forward na Antony ni winger. Kabla Antony hajaja Sancho kacheza chini ya ETH hapo kulia. Eth anataka mtu atakaye hold width.

Mfumo wa kisasa Mtu kama Sancho ndio anatumika sana ila ETH anatumia mfumo wa kizamani hasa huko kulia.

Sema mechi ni nyingi sana wote watacheza na kutumiwa Sancho atacover nafasi zote 2, bila Antony na Greenwood ina maana tungeanza msimu na Rashofrd na Sancho tu, akipata injury mmoja tu ni disaster.
 
Timu imepata faida (hata uki include mishahara) hasara imetokana na makando kando

Kuna 60m operation cost, 24M kulipa waliotimuliwa na 35M pocket money ya kina Glazzer.
 
Magwaya ako na potential gani ambayo utd hatuioni ? Panga pangua timu ya taifa jamaa hakosekan ana anakula minutes za kutosha,,,,

Au Ni ubovu wa miaka mingi wa kiungo chetu unamfanya awe exposed ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…