Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa kikosi hiki ushindi mtamu mtamu. Anton atapenda kuendeleza makali. Casamiro, Eriksen na Fred patamu sana hapo. CR7 atatoa onto kucheza Europa, kwamba siyo size yake. Maguire na Linderlof hope watakuwa makini leo.
Antony mumepigwa
 
Sawa lakini mmebanduliwa
 
Mashabiki wa nyumbu wote Wana wake

Yamegongwa Tena yamerudia uchizi wao.
Chizi karogwa tena
 
Kwa kikosi hiki ushindi mtamu mtamu. Anton atapenda kuendeleza makali. Casamiro, Eriksen na Fred patamu sana hapo. CR7 atatoa onto kucheza Europa, kwamba siyo size yake. Maguire na Linderlof hope watakuwa makini leo.
ushindi mtamu mtamu nao ukapatkana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…