Uefa inaanza Leo mmesikia nyie nyumbu laana fc mwaka wa 5 sasa hata kombe lolote lile hamna afu Kuna watu bado wanashabikia hii timu kweli vichaa hawaishi Dunian
hakuna mechi timu yetu iliaibika kwa kucheza mipira ya hovyo kama europa league mwaka jana. I wish leo uwe mwanzo wa kuachana na haya mashindano katika muongo huu wa 2020-2030 kwa style ya aina yake.
Kwa kikosi hiki ushindi mtamu mtamu. Anton atapenda kuendeleza makali. Casamiro, Eriksen na Fred patamu sana hapo. CR7 atatoa onto kucheza Europa, kwamba siyo size yake. Maguire na Linderlof hope watakuwa makini leo.