Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Unahitaji kuwa kauzu sana kuandika uliyoyaandika,mpira ilifika kipindi possesion ilisoma 15% kwa 85% then unakuja kusema alifunika kiungo cha arsenal duh....una moyo

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Umeongea kitu huy jamaa si raia wa Burkina Faso alikiwasha kweli kweny Africon alikua ancheza pacha na yule beki wa berkane

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Sajili zijazo ni kureinforce kiungo na forward.

Kiungo kikiwa vyema, hata kama mabeki sio wazuri, mapungufu yanafunikwa.
 
Hamna soka la bure. Na hakuna tajiri ana invest pesa zake for nothing. Hayupo
Ndio Hilo ckatai lakin matajiri wa kiarabu Ni tofauti nawakizungu, mfano mzuri nikwamahasimu wetu wa liverpool. Hivi hao matajiri na wamiliki wa liverpool huoni upumbavu walioufanya kumwachia Sergio mane kisa anademand kuongezewa mshahara.

Na ukiangalia mane amechangia pakubwa katika mafanikio ya hivi Karibuni kwa Liverpool, Sasa jiulize why wagome kumwongezea mshahara hivi huoni Ni upumbavu kiasi gani walionao hao wazungu wamiliki wa liverpool yaan mane alikua anazidiwa mshahara Hadi na keita. Afu jiulize Kati ya keita na mane Nani alikua na mchango mkubwa kwa klabu.

Nabado alikua na mapenzi na klabu angalia now yupo Bayern anachokifanya nibora angekua kaflop apo ingekua sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…