Arsenal kwa kifupi wame yakanyaga wanaingia kinyume nyume kwenye ghetto la OT, lazima arsenal awe wa mfano leo kujua tupo serious arsenal mje kabisa na jeneza.
Mmeya kanyaga wakina@Arone Ramsey leo lazima mdeki bahari leo lazima mpigwe dog style.
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha
Prediction
Man united 3 vs Arsenal 0
12:30 jioni
Mpapaso leo ni lazima
#GGMU
View attachment 2344990