Kupiga walemavu goli 6 ni kujitafutia laana tu, hio michezo wamezoea kina liverfool wajaa laana wasio na utu.Tumecheza hovyo sana leo kule mbele..
Leicester ilibidi wafe kama sita bila hivi..
Ronaldo Jumapili akianza lazima apige hatrick, maana ana hasira kinoma ya kuanzia bench mechi 5 mfululizo.He should start on sunday
Vipi walisafirisha au walisafirishwa wao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtaamua wenyewe mnasafirisha au mnatupa tu mzoga
Kiungo ndidi, Yuri, Madison
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 2342468
Etieeeeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]GGMU i smell draw this game
You complain alot Mkuu....Sometimes appreciate what you get....Team hii bado sana lakini we need to be winning games while building and restructuring the playing style and system.....Kikubwa kwa sasa ushindi, naamini mazuri yaja.Tumecheza hovyo sana leo kule mbele..
Leicester ilibidi wafe kama sita bila hivi..
Arsenal baba yao Ronaldo tu akisimama pale mbele hakuna Gabriel wala Black sijui Tierney, ni mauchafu yamejaa pale nyuma.Kwa mpira huu wa leo Arsenal atatusumbua sana
Huangalii mpira wewe. Tactics zinatofautiana sana ukiangalia vizuri. Arsenal anabikiriwa.Kwa mpira huu wa leo Arsenal atatusumbua sana
Usihadaike na gemu iliyo isha. Kocha aende na mwendo alio anza nao kwa liverpool. Kubadiliaha badiliaha tena kwenye big mechi itagharimu ushindi. Nipo hapa utaona ushindi utakavyo kuwa mgumu ikiwa kocha atabadili kikosiRonaldo Jumapili akianza lazima apige hatrick, maana ana hasira kinoma ya kuanzia bench mechi 5 mfululizo.
Huyo Fred nae ni Mchezaji WA kujivunia kweli ?Arsenal baba yao Ronaldo tu akisimama pale mbele hakuna Gabriel wala Black sijui Tierney, ni mauchafu yamejaa pale nyuma.
Arsenal wameruhusu magoli mengi sana, eneo ambalo wapo vizuri ni kwenye ushambuliaji na hili tatizo ni kuwawekea Casemiro na Fred halafu nyuma ya hao watu kama kawaida The Butcher na Champions League Varane.
Arsenal anapasuka siyo chini ya magoli matatu.
Arsenal baba yao Ronaldo tu akisimama pale mbele hakuna Gabriel wala Black sijui Tierney, ni mauchafu yamejaa pale nyuma.
Arsenal wameruhusu magoli mengi sana, eneo ambalo wapo vizuri ni kwenye ushambuliaji na hili tatizo ni kuwawekea Casemiro na Fred halafu nyuma ya hao watu kama kawaida The Butcher na Champions League Varane.
Arsenal anapasuka siyo chini ya magoli matatu.
Ata timu iliyo tufunga 4 huijui..kaa kimyaaWakati mnakula 4 o'clock Kwa Brighton huyo Ronado hakuwepo? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Muandae na ambulance za kutosha hapo
Kwa timu gani mliyonayo? Unapigwa kama umesimama.[emoji1787]Arsenal mnaojipitisha humu, screen shot table kabla ya jumapili ili mtunze kumbukumbu kwamba mliongoza ligi.
ERAS COME TO AN END
Wewe kwa beki gani uliyo nayo?Kwa timu gani mliyonayo? Unapigwa kama umesimama.[emoji1787]
Hawa ni failure.com[emoji3][emoji3][emoji3]
imebidi tu nicheke... Avengers???[emoji119]