Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huwa hatuna watu kabisa wenye uwezo wa kutembea na mpira sana kwa uwezo wa juu..Anthony atasiadia kiasi kwenye hili
United nyie muda si mrefu mtaanza kumponda huyo jamaa.. hamna uvumilivu. Vipaji vingi vimeshindwa kuwika hapo united tangu alipoondoka Ferguson.
 
Nitajie wachezaji watatu ambao wamekuja kwetu wakashindwa kuwika ila walivyotoka kwetu wakawika katika kiwango ambacho dunia ilitarajia kuwaona wakiwa nacho?
Samahani Mkuu.....akikujibu naomba unistue
 
Nitajie wachezaji watatu ambao wamekuja kwetu wakashindwa kuwika ila walivyotoka kwetu wakawika katika kiwango ambacho dunia ilitarajia kuwaona wakiwa nacho?
Paul Pogba

Alivyotoka United Kwa mara ya Kwanza kwenda juventus
 
Van Basten:

"Antony hasn't proven much yet. Of course he played a few good games. But his efficiency has not been high in the last 2 years." View attachment 2339510
hela Ni za club wacha watoe ,,, huyu Anthony bado ana potential huko mbele, anayo room of improvement!!!

Mbona nyie mlimnunua pepe kwa hela ndefu akafeli ?? Hadi mmemtoa kwa mkopo! Mara nyingi usajili Ni gambling,,, unakula au unaliwa!!! Utd ni club kubwa, mauzo ya jezi tu yanarudisha ada ya usajili !
 
Van Basten:

"Antony hasn't proven much yet. Of course he played a few good games. But his efficiency has not been high in the last 2 years." View attachment 2339510
Nyie AsaniWali tumeshawazoe na makelele yenu.
Mlivyokua mnamtaka Martinez mlikua mnamsifia kwelikweli huko kwenye jukwaa lenu la matusi, ila baada ya kumkosa na kusajiliwa na Manchester United mkaanza kumponda kua ni mfupi sana hafai kua beki wa kati.
Baada ya mechi zake 2 tu akawaprove wrong kwa yote mliyoyasema.
Hata Antony baada ya kucheza mechi zake chache tu mtafunga midomo yenu.
 
Na wakasema yeye ni mfupi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…