Kaka ukibishana nao wataona umechanganyikiwa kweli ww waache ndio raha ya utani, Mie nawapa Pole unajuwa tukipigwa Belo huja Kop Kule kutupa pole hatucheki anajuwa mpira Leo Huyu Keesho Huyu. Na Kama hujazoea utashangaa computer yako ipo kwa fundi.
Usipanic plsssss....nakufahamu kupitia posts zako....sihitaji kukuona kwa appearance ndio nijue umechanganyikiwa. Posts tu zinaonyesha ulivyochanganyikiwa. Pole lakini...sisi ngoja tuendelee kukucheka!!!!
Duuh game ya jana sikuiona hivi ilikuwaje maana watu walikuwa hawatak wa wachezee OT kwamba wakichezea OT wanapakatwa vip na mechi ya jana walichezea OT??