Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,359
- 5,151
Sio hela nyingi,infact ni £84,ambayo kwa dunia ya sasa ni kawaida sana,ukiweka €100 inaonekana nyingi sana.
Ingawa huu ni uzembe mwingine wa board,kama tungefanya mapema,hela isingezidi £70
Anyway mimi ni naani nilalamike hela,nachotaka good players,perfomance and good results.
Otherwise itarudi kwenye mifuko ya kina Glazers.That's not your money...that's UNITED'S money....wanajua zaidi yako wewe na mimi...Wewe chagua kuwa shabiki au hater
Kumbe Anthony ni striker?Antoni tangu mwezi wa pili huko ana tugoli sijui tutatu yet anaitwa straika anazidiwa na kiungo wa ajax kwa idadi ya magoli cs haaland ambaye juzi tu amejipigia tatu za chapchap
Lugha za watuKumbe Anthony ni striker?
Waona mbali.Utd arena katika ubora wake, hii ilikuwa ni 2019
Sichoki kusoma analysis zake
View attachment 2337906
View attachment 2337907
A forward is any player playing in an attacking position for the team, and a striker is a single player positioned nearest to the opposition goalAntoni tangu mwezi wa pili huko ana tugoli sijui tutatu yet anaitwa straika anazidiwa na kiungo wa ajax kwa idadi ya magoli cs haaland ambaye juzi tu amejipigia tatu za chapchap
Kweli ni lugha za watu, kuna tofauti kubwa kati ya forward na striker.Lugha za watuView attachment 2337993
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] lugha za watu hizo wanao cheza safu ya mbele wote ni washambuliajiView attachment 2338006
4-4-2 haichezeshi striker? Man u huwa wanampanga rashfd kama mmaliziaji lakini kwa sifa za striker hana hata moja. Lakini akichezeshwa anaitwa striker.A forward is any player playing in an attacking position for the team, and a striker is a single player positioned nearest to the opposition goal
Safi sana, forward ni mchezaji anayecheza mbele ya viungo wa kati, striker ni mchezaji anayecheza karibu na lango la mpinzani.A forward is any player playing in an attacking position for the team, and a striker is a single player positioned nearest to the opposition goal
Inategemea ni aina gani ya 4-4-2 lkn lazima kunakuwa na striker na second striker ambaye ni no. 104-4-2 haichezeshi striker?
Striker sio sifa bali ni nafasi ndani ya pitch, hata Mwamnyeto amaweza kupangwa hiyo nafasi japo hana sifa.4-4-2 haichezeshi striker? Man u huwa wanampanga rashfd kama mmaliziaji lakini kwa sifa za striker hana hata moja. Lakini akichezeshwa anaitwa striker.
Ok, kumbe ulijijibu asante.4-4-2 haichezeshi striker? Man u huwa wanampanga rashfd kama mmaliziaji lakini kwa sifa za striker hana hata moja. Lakini akichezeshwa anaitwa striker.
Hapa we should be bidding kwa mtoto wa ki-Brazil yupo pale Monaco anaitwa Vanderson moto wake sio wa kitoto.Shida imebaki namba 2 na namba 9.
Fala tu huyoHenderson ka-save tena Penalt huko.
Huyo wa juu ataproveAnthony Santos
Anthony Martial
Anthony Elanga