Timu yetu hii bado sana, wachezaji wetu wanaogopa kabisa kicheza na mpira,ni kama wanatetemeka kila wakipata mpira wanabutua butua tu.
Rashford leo sijui amegusa mpira mara ngapi, tuendelee kukomaa tumpate Anthony bado tuna shida ya wachezaji wanaoweza kuchezea mpira na kujiamini mbele ya mabeki,Anthony ni mtu sahihi.
Tumeshinda ndio lakini mpira tumechezewa sana, Natamani kuona Casemiro na Fred wakicheza pamoja pale chini halafu Eriksen acheze eneo la Bruno japo mechi moja.
Tuna points 6 mna points 7 fala wewe. Leicester kawakimbiza huko mmebana mbupu muda wote wa mechi. Unaisema United wakati timu yako haina striker, kiungo tia maji tia maji tu.