hii kauli ya muda sana mkuu labda kama wewe ndo umeanza kuisikia leo Twitter ndo inatumika mara nyingi.Allypipi hakika unaupiga mwingi sana, mpaka yule kubwa jinga anaejiita raisi wa AssaniWali ameamua kugelezea kale kamsemo kako. View attachment 2336318
Ww ni genius sana mkuu Sema timu unayoshabikia mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii kauli ya muda sana mkuu labda kama wewe ndo umeanza kuisikia leo Twitter ndo inatumika mara nyingi.
Nacheka lkn naogopa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]##GGMU##
Fernandes amekuwa mtu wa papara sana..
Relax Bruno
Tulia ww. Yajayo yanafurahishaNacheka lkn naogopa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pale mbele anaejitahidi ni Sancho tu.Naona gap kusababishwa na mashabiki wa Kiingereza.
Beki yetu imetulia Rashford bana sio mchezaji kabisa.
Pengo lingine ni Hernandez simuoni akisaidia
Bruno sasa hivi amekua ni zaidi ya mzigo kwenye timu, angetafutiwa hata litimu la mkopo aende akajinoe kwanza.Fernandes amekuwa mtu wa papara sana..
Relax Bruno