Kocha anahitaji muda, wachezaji wengi ni 30+yrs huu ulikuwa ni muda wa kutengeneza kikosi kipya kwa hiyo ingekuwa tabu kwa kocha yeyote yule. Lakini ligi bado haijaisha
Endelea kujipa moyo hivyo hivyo Kwahiyo uzee huo ni baada ya kutua yeye pale, si ndio? Kwataarifa yenu MOYES hata apewe Barcelona ataishusha daraja tu coz uwezo wake ni mdogo afadhali ya JULIO (Kiwelu)