Argentina hiyoo... hawanaga kazi mbovuHiv Martinez ni raia wa wapi
Sasa liveruli ndio kipimo chako kwamba una timu nzuri.Mmeanza kubrag kuhusu points mapema hivi? Mnatuzidi pionts ngapi sasa?
Mi nashukuru umekubali kuwa hata nyinyi ni viwete [emoji1]
Yes mkishinda kwa Arteta somehow tutaanza kuwaconsider.Mlete arteta...mlete artetaaa [emoji1][emoji1]