Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Let me finish my work kwa sasa ili saa 4 niwe humu Jukwaani mwanzo mwisho sitachoka kukesha humu nimeandaa mabomu [emoji378] [emoji378] ya nyuklia saa 6 usiku ntaanza kuyarusha moja baada ya lingine

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Angalia alichokisema then rudi haraka kumuangalia usoni. Utagundua kuwa alikuwa kalewa [emoji28]. Kama ni mzima basi wamemficha ningependa uongozi wamuambie ukweli [emoji28]
Jamaa kwa haraka haraka ukimuangalia unajua kabisa ni mjanja mjanja.

Yani anajua ashawapiga hela, sasa anataka awaaminishe mashabiki kuwa hawajapigwa!😂😂
 
Mkiweza kuwazuia Liverpool wasipate goli katika dk 20 za kwanza basi nyie ni vidume.
 
Hata Chelsea iliponunuliwa na Roman Abromovic alimchukua mtendaji mkuu David Dein kutoka Man u, ila man u tunamatajiri vilaza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…