Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Gadiola kamkuta kdb
 
Manchester United bado ina safari ndefu sana mkuu, kama unavyoona kila mtu anaona ni sehemu ya kupigia pesa. Wewe hadi Mama wa Rabiot anataka mwanae atajirikie United kwa mpira upi?

Wachezaji wakiangalia timu inavyoendeshwa hata wao wanaogopa kwenda United.
 
Pellegrin ndio almsajili kdb kutoka wolfburg 2016 ,so pep kamkuta kdb
 
Mchezaji aliyeachwa na Ferguson ni De Gea na Phil Jones tu.
 
Mchezaji aliyeachwa na Ferguson ni De Gea na Phil Jones tu.
 
Mi shabiki wa united nimekubali kuwa timu ni mbovu sana tena sanaa sijui msimu huu itamfunga nani.
 
United ni kama hawana a clear structure ya rebuild wanayoifanya.

Casemiro ni panic buy tu, ni mchezaji mzuri sana lakini kwa umri alionao ni kama atakuwa kwaajili ya muda mfupi kikosini katika mpira wa hali ya juu katika career yake.

Tatizo la United wanataka kufanya rebuild yao kwa kulipua tu. Kitu pekee kitamleta Casemiro United ni pesa na hapo ndiyo timu inapokosea kwasababu tunarudi kulekule kulipa mishahara mikubwa ambayo kila mchezaji tukimleta na yeye atataka alipwe kama fulani.

United hawakuwa tayari nini watafanya dirisha la usajili, siwalaumu kwasababu ni era mpya imeanza. Wangetulia tu wasubiri dirisha lijalo. Ila ndiyo hivyo Glazers wanajisafisha kwa mashabiki. Mashabiki nao wanawapamba wachezaji wa Madrid kuwa ni winners kwahiyo wasajiliwe tu hata kama hawafai kwa kile tunachoita rebuild.
 
Kama united inapigwa 2 na briton na 4 na brentford tukikutana na liver,man city, chelsea, spurs na arseno si watatupiga 7 nakuendelea. Yaan saiv naona mpaka aibu kujiita mshabiki wa united kitaani. Timu ni mbovu mpaka wanatuonea huruma
Ukisikia united anacheza unajiuliza leo anapigwa ngapi.
 
Mkuu rebuild sio lazima uweke makinda pekee,hata aged players wanaweza kuwa na msaada huku ukiongeza mmoja mmoja.

Leo hii milner bado anaonekana muhimu liver japo aliondoka man city akiwa mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…