Hii mishahara mikubwa inasumbua sana, Bruno amedrop sana yaani, toka ale deal jipya.United walikua tayari kumfanya Adrien Rabiot moja ya wachezaji wanaolipwa pesa nyingi kwenye daraja moja la kina Bruno Fernandes na Christian Eriksen lakini mama yake Véronique iinasemekana alihitaji mshahara mkubwa zaidi. [ @David_Ornstein ] #MUFC
Naona hawa wajinga wameona united ni pakupigia pesa kwa kiwango gani kwanza.
We ni timu gani mkuu? Sio kwa kutukandia huko[emoji599] Manchester United are interested in signing Karim Mandonga from Boxing United, as they're finding it difficult to sign Frenkie De Jong.
(Source: @marca)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahhaaa. Majamaa wameona wamchane live mshikaji waoVarane & Ronaldo wamemuambia Casemiro asije Manchester United.
Mkuu hivi wewe ni timu gani??.. Maana kwenye thread za kila timu unapondea[emoji599] Manchester United are interested in signing Karim Mandonga from Boxing United, as they're finding it difficult to sign Frenkie De Jong.
(Source: @marca)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Arsenal huyu kama sijakoseaMkuu hivi wewe ni timu gani??.. Maana kwenye thread za kila timu unapondea
Hata kwenye jukwaa LA arsenal ni mpinga kristo pia..huwa anawaita arsenyetoArsenal huyu kama sijakosea
Hahahhaaaa. Ngoja aje atupe majibu yy mwenyeweHata kwenye jukwaa LA arsenal ni mpinga kristo pia..huwa anawaita arsenyeto
Kwa akili yako ya kuzaliwa na kusoma darasan casemiro anaweza kutoka real Madrid kuja kucheza Europa na man UTD [emoji23][emoji23][emoji23]....rudia Tena kusomaVarane & Ronaldo wamemuambia Casemiro asije Manchester United.
Nyumbu uyoHahahhaaaa. Ngoja aje atupe majibu yy mwenyewe
Na mkataba wa miaka mitano. Yaani sasa hivi hata Mayele anaweza igomea Man.Casamiro anataka mshahara wa £500k per week, ili atue man u.
Halafu midfielder watatu katika kundi hilo walikaribia kujiunga na United kabla hawajatimkia Real Madrid.Ukitaka kujua Man Utd board haiko serious, angalia midfield ya hawa jamaa alafu angalia midfield yetu tuliyonayo.View attachment 2325503