Guantanamo Sobibor
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 897
- 1,133
Muhimu kujipa matumaini unafanya jambo sahihiNakubaliana na wewe, Ni wachache tunaoona hiko kitu,hata Chelsea sijui Lin kamfunga man u ,sikumbuki,
Liverpool ana majeruhi sehemu ya kiungo, hata beki ,
Hiyo mech Liverpool anakufa au sare
Ndoto za Ali NachaLiverpool ndo anaenda kutupa uhai sasa.
Ashindwe kukupa uhai Brentford akupe Liverpool? Au unadhani atachezesha walw wa pre-season?Liverpool ndo anaenda kutupa uhai sasa.
Pogba aliitwa kirusi kaondoka, sasa hivi kirusi ni Ronaldo nae akiondoka kirusi atakuwa mwengine.Kocha ashamchoka huyu kirusiView attachment 2324311
Mdogo mdogo mnaanza kuchanganyikiwa na kuokota makopo , psychologically mshavurugwa [emoji23][emoji23][emoji23]na bado ........!Nakubaliana na wewe, Ni wachache tunaoona hiko kitu,hata Chelsea sijui Lin kamfunga man u ,sikumbuki,
Liverpool ana majeruhi sehemu ya kiungo, hata beki ,
Hiyo mech Liverpool anakufa au sare
Au nikupe peter shalulile ingia YouTube mcheki he is currently better than cr7Basi jamani tumekoma.
Kwani hamuna sehem nyingine yakwenda kuchamba mpaka humu tu?
Kufungwa huko tumekuwa wakwanza sisi?
Tuacheni jamani angalau tupumue, mutatuua kwa pressure.
akifa mimi shogaNakubaliana na wewe, Ni wachache tunaoona hiko kitu,hata Chelsea sijui Lin kamfunga man u ,sikumbuki,
Liverpool ana majeruhi sehemu ya kiungo, hata beki ,
Hiyo mech Liverpool anakufa au sare
Mech Moja ambayo hawataamini macho yaoLiverpool ndo anaenda kutupa uhai sasa.
Ambaye hatazingatia ataonywa. Na ataondokaPogba aliitwa kirusi kaondoka, sasa hivi kirusi ni Ronaldo nae akiondoka kirusi atakuwa mwengine.
Mpira haupo hivo, sitashangaa man u akishinda hiyo gameakifa mimi shoga
Kipya kipya ? Tatizo mmeanza kuangalia mpira baada ya kikwete kuingia madarakanMdogo mdogo mnaanza kuchanganyikiwa na kuokota makopo , psychologically mshavurugwa [emoji23][emoji23][emoji23]na bado ........!
Mateso ni makali sana lazima uchanganyikiwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na kuandika fake hope [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kipya kipya ? Tatizo mmeanza kuangalia mpira baada ya kikwete kuingia madarakan
Mm hiyo mech nabet Leo mapema kabisa Nampa man u
Man u hii mbovu, muulize Chelsea amemfunga lini mara ya mwisho, man u ya ole ,Pep kachezea vipigo kilaini kabisa
Kipi kipya sasa
Ten hag akianza ukorofi na ile kipara yake atateseka sana, labda awe anavaa helmet la sivyo atachezea nakoz za kichwa mpaka akili itamkaa sawa.Okay japo namuona kaisha Sana Hana speed ileee.
Enda
Jamani Leo nimependa fight ya tuchel na conte.
Imemaliza machungu yangu ya Mimi man utd dam dam. Nataka kocha awe mkorofi inaweza ikasaidia. Namuombea Eric ten hag awe mkorofi
fake hope gani wakati @hamisi77 ni shabiki wa Arsenal.Mateso ni makali sana lazima uchanganyikiwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na kuandika fake hope [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]