Newzealand360
Member
- Aug 10, 2022
- 88
- 122
Hiv anashindwaje kutumia japo Hawa ulioweka hapo??Afanye kama Arteta..mafaza wote walioletwa kimchongo mchongo na flops wote wawekwe benchi..madogo wapewe nafasi..
Heaton
Laird Bailly Varane Malacia
Zidane Savage Eriksen
Pellistri ×××× Garnacho
Ili akili zitukae sawa na Glazer na bodi nzima waelewe kwamba fagiafagia ndo kitu kinachohitajika maeneo yote..tuanze upya.
Naamini hapa tunaweza ona kitu kinachojengwa.Afanye kama Arteta..mafaza wote walioletwa kimchongo mchongo na flops wote wawekwe benchi..madogo wapewe nafasi..
Heaton
Laird Bailly Varane Malacia
Zidane Savage Eriksen
Pellistri ×××× Garnacho
Ili akili zitukae sawa na Glazer na bodi nzima waelewe kwamba fagiafagia ndo kitu kinachohitajika maeneo yote..tuanze upya.
Itakua ni Clause za mkataba, madogo wamesain as Future first team player, squad rotation players, sporadic and important first team playersHiv anashindwaje kutumia japo Hawa ulioweka hapo??
Kwa hii ratiba ya United. Siion mechi rahisi hadi sasa[emoji23] Wapinzani wote wana uhakika wa kupata points kwetu.
Huyu Kocha anajichimbia kaburi mwenyewe. Hadi kufika january aisee atakua ameota nywele vyema sana maana nina uhakika atasahau hata kwenda saloonView attachment 2323610
Nakumbuka Moja na squad iliyo pindua meza kati ya Man na PSG ni Hawa madogo mixer na first team.Itakua ni Clause za mkataba, madogo wamesain as Future first team player, squad rotation players, sporadic and important first team players
While makubwa jinga yamesaini as Crucial first team player it means watakua ndio wanaanza.
Mzee ajivike mabomu atawapa kisingizio kua hawana morale or hawapo onform.
Hope madogo hawawezi mwangusha hata kucheza soka safi inaweza saidia kumpa Ten Haag sababu ya Rebuild.
Piga benchi hao wote na mazoezini ahakikishe hao mafaza hawana kelele bali kazi kazi.
Tena sana, hata ile Fainal angeacha mchanganyiko wa madogo.Nakumbuka Moja na squad iliyo pindua meza kati ya Man na PSG ni Hawa madogo mixer na first team.
Nakuhakikishia Europa madogo watacheza poa sana trust me
Wa 4 uyu unazani nani ataliweza sikio la kufa?
Wakina Iqbal wanauwezo tuConte ndio alikuwa kiboko yao hapo maana yule anakuwa mkali kwa wachezaji mpaka kwa wamiliki wa timu hapendi ujinga.
Wamekosea sana kumleta huyo sio kila kocha anawezakufundisha epl hapo kwa moto hapo huyo mpole
Kadaka penalty.