Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mourinho alishwahi sema Achievement yake kubwa ni Kushika nafasi ya Pili kwa kikosi aina hii cha man u ambacho kiukweli ni shida tupu ukiangalia namna wanavyocheza unajua no plan yani Kuanzia beki mpaka foward hakuna Coordination anaepata mpira hajui next plan foward zinabutuaa ili mradi kuoteaa goli.. Kina magwaya huku nyumaa wapo loose tu yani Hakuna Marking kabisaa ubaya Hata De gea na mabeki kina magwaya unaona wanacheza ili mradi tu. Uwepo wa ronaldo unawapumbaza wengi wakiamini tuna kikosi Bora ila ukweli pale hakuna Chemistry ya kuisadia timu kabisa.
 
Timu zenye proper structure haziyumbi kienyeji.

SAF ndo alikuwa structure ya United. Aliondoka akabaki ED anayeamua kila kitu.
 
Naona umepiga kwenye mshono

 
Kwaio mmeliwa kimasihara au planned?
 
Upo Simba halafu upo manjestaa Yani unapigwa mtungo hahahaha pote pote mbele na nyuma panalika tu hahahaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Makocha wangapi wamepita?
 
Cr7 anashusha heshima yake ..kucheza na manjestaa kwa Sasa Ni kujishusha hadhiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…