computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,039
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tunawashukuru mashabiki wote wa brentford popote pale mlipo kwa kuonyesha ushirikiano wenu siku ya leo.
Kikubwa kenge ataendelea kua kenge na nyumbu ni nyumbu tu.
Nawakumbusha mashabiki wenzangu kwa hali hii mechi inayofata na Liverpool kila mmoja atembee na kikopo chake cha mafuta.
Lazima uwe na team England acha kujificha kwenye majani. MafupiRasmi nimehama kushabikia man u nahamia madrid
Glory glory Manjesta united😅Kwa kumbukumbu ya vizazi vijavyo, huu ndo Msimamo wa ligi 2022:
Hii timu hakuna mchezaji wa kumbembeleza hata mmoja..Ten Hag aache siasa, akubaliane na uhalisia.
Man Utd haina wachezaji.
Ronaldo alitaka kuondoka, angemuacha aende.
Rashford ametakiwa na PSG, angemuacha aende.
Kuwakingia kifua ni kujipalia makaa. Watamtokea puani.
Usiseme hivyoooo.Uo simba alafu up manjestaa Yani Ni kipigi huku na huku ..unapigwa mbele na nyuma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]

Wapi ww humu ulikuwa unamsapoti tena kuna siku nliandika hapa list ya wachezaji wakuondolewa man u nikasema de gea shaw na maguaya mkanipiga mdomo ww na chief-mkwawa[emoji28]Ten Hag kitendo cha kusema anawachezaji wazuri nilimwona ni mjinga kabisa..
Liverpool next
Ooohoooo
HahahahaInabidi tuchapike haswa, Mambo ya kutiana moyo mwanzon mwa ligi halafu katikati tunaanza kulia kilio haifai...Yani tuchapike vizuri tena vipigo vitakatifu vya kikatili ili dunia nzima Hadi wafu wafahamu kuwa timu ni mbovu, ili basi hadi sisimizi wafahamu kuwa man utd ndiyo inaanza kutambaa dede!