kuna watu wanatwambiaga sisi tumekata tamaa hatujui mpira timu inahitaji rebuilding na kocha hatujui anataka kucheza vipi ni mapema sana pia usaji wanasema unatosha ! bado hamkubali ? kama wale wanaongia uwanjani wenzao wanaandamana
Kabisa kabisa kocha aliamini anaweza kuna kauli zake mwanzoni niliona zitamcost kwamba kikosi bado ni kizuri sababu kilimaliza ligi nafasi ya 2 msimu uliopita
Kabisa kabisa kocha aliamini anaweza kuna kauli zake mwanzoni niliona zitamcost kwamba kikosi bado ni kizuri sababu kilimaliza ligi nafasi ya 2 msimu uliopita
Tatizo kubwa ni katikati.. Bedford wanapita kama maji, Tena wanaficha eneo la Kati kana Kwamba hawakitumii lkn kiungonwao anagwan mipira kama hataki vile. Jmn nimekubali sisi ni wapuuzi