Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bado kuna watu watakuja kusema Ronaldo ndio chanzo cha kupigwa hizi tatu.

Kiufupi hapo nyuma (ulinzi) tupo hovyo sana, ndiomaana tunamiliki mpira ila kila shambulio linalokuja kwetu ni goli, kipa na mabeki wote washenzi tu.

Namuonea huruma sana player wangu Ronaldo, sijui kwanini alijichanganya kuja kwenye hili liteam la kijinga.
 
kuna watu wanatwambiaga sisi tumekata tamaa hatujui mpira timu inahitaji rebuilding na kocha hatujui anataka kucheza vipi ni mapema sana pia usaji wanasema unatosha ! bado hamkubali ? kama wale wanaongia uwanjani wenzao wanaandamana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…