Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sema mimi Rabiot naona atatufaa, ni Design ya wachezaji kama Fletcher, sio key player wala sio mbovu, anakimbia na kujituma sana, anapiga pasi, anakaba, ananguvu etc.
 
Jamaa wafanya wa fundraise 5B nadhani Kwa lengo la kulipa deni nk.

Lkn iki involve grazer off quite
 
Erik ten Hag would like a goalkeeper that can genuinely challenge David de Gea and, if one becomes available, the sanctioned funds of £7m could go higher.
[lauriewhitwell]

----------------
Tuwe wavumilivu mpaka msimu ujao, sidhani kama Onana ataweza kumweka benchi Handanovic huko Inter Milan.

Hivyo msimu ujao tunaweza kumshawishi Kwa urahisi zaidi.
 
Erik ten Hag confirms Anthony Martial and Victor Lindelöf will be out for #mufc's game against Brentford. The squad situation is "still the same"
 
mufc’s initial plan was to pay around £35,000 a week in wages for a new goalkeeper, but the salary cap is now higher to bring in a profile that suits Erik ten Hag’s needs.
 
Raph ni kweli alikua anaongea kuhusu jinsi gani timu inapaswa kubadilishwa.

Lakini kuongea vile public somehow kumewavunja sana moyo wachezaji,including Bruno na types za kina Luke Shaw ambao vipaji vimesizi ghafla.

Kazi tunayo,
 
Lou Macari when asked about Rabiot on MUTV:
“I'd never really heard of him. Clubs spend millions of pounds scouting players across Europe, but nobody else has made a move for this fella. Why do you think this is? I have got a bad feeling about the guy.”
 
Raph ni kweli alikua anaongea kuhusu jinsi gani timu inapaswa kubadilishwa.

Lakini kuongea vile public somehow kumewavunja sana moyo wachezaji,including Bruno na types za kina Luke Shaw ambao vipaji vimesizi ghafla.

Kazi tunayo,
Bruno alibebwa zaidi na mpira wa counter attack chini ya Ole, mpira wa structure kama huu wan ten hag utamtesa asipobadilika kwa sababu si ball retention, hawezi au hapendi kukaa na mpira, haamini katika utulivu, huamini zaidi katika kufanya maamuzi ya haraka bila ya kuangalia structure ya timu yetu na timu pinzani.

Unajua report ya scouting ilisemaje kuhusiana na bruno kabla klabu haijamsajili

Kwa ufupi repoti Ile ilisema ni mchezaji anayepoteza mipira ovyo ndio maana klabu ikasita kumsajili mwezi August ila ikamrejea tena mwezi January.
 
Ten Hag: "Tumejifunza mengi [baada ya kupoteza] lakini nadhani ni kawaida ukiwa unaanza msimu, unafanya makosa. Mpita ni mchezo wa makosa. Tunatambua tunatakiwa kujiboresha kwenye maeneo mengi hilo lipo wazi." #MUFC
 
Na hili ndo jibu la kwanini Fernandes amepotea..

Mipira ya haraka haraka anaiweza..hii mifumo mingine ya kuweka mpira chini tutasubiri sana kuona chochote cha maana kutoka kwake
 
Umemtathimini vizuri sana aise.
 
Umesema sahihi brother chukua tano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…