Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Na huyu akishindwa ni bora timu ivunjwe
De jong anaenda chelseafc dah nawahurumia kwenye hiki kipindi kigumu mnachopitia mchezaji ambaye msimu Huu alikuwa first priority wenu mliacha kabisa kufocus kusajili wachezaji wengine kwasababu yake leo hii Chelsea ambayo haikuwa na mpango nae awali kabisa dakika hizi za majeruhi wamewapindua dah! Hii team yenu kiukweli ina laana
 
Being told PSG wanamtaka Rashyy! (MBE) ,,, !!!

akwende tu, wa Nini huyu,,, flop !

i.e ni Nini PSG wamekiona kwa huyu mtoto wa kiingereza ? Currently Hawa wafaransa wamebadili Sana sera yao ya usajiri, mfano dhahiri ni msimu huu,,, wame_recruit potentials with definite price,,,, !!!!

Sio kudili Sana na majina makubwa na ada kubwa ! Au wanakwepa rungu la FFP
 
kaka hyo kazi ya Luís Filipe Hipólito Reis Pedrosa Campos ndo anaibdlisha psg mtu kama huyu kakosekana pale united
 
Kwa Siku za hivi karibuni nimeona malalamiko makubwa Kwa matokeo yetu. Lkn pia nimekua nikisubiri miaka kadhaa tupate namba sita DM ya uhakika ndio nitoe conclusion yangu. Na hapo ndio nawaona maskauti wapumbavu Sana, yaani wanamakengeza sana hivi Middle miaka na miaka hawaoni hilo pengo??

Dalot ni mvivu aende tu....

Pale Old Trafford apatikane middle tuuu.....


Akija acheze 4.2.3....... Fred au maktominay atumike kuvuruga tu.🆗🔥👍utawaka.
 
Mkuu wewe unafikiria ki laymen sio mfanyabiashara.

Kwenye Biashara Asset zinatumika kuchukulia mikopo, Kwako wewe laymen unaona kumpa Mchezaji mshahara mkubwa wamejitahidi, Alichofikiria Woodward na Glazzer kumpa mshahara mkubwa Mchezaji kunamuongezea thamani, Thamani ya Mchezaji inapoongezeka na thamani ya Timu inaongezeka, thamani ya timu ikiwa kubwa Asset nayo inakuwa Kubwa, Asset ikiwa kubwa wanaweza wakachukua mikopo kadri wanavyotaka.

Nikukumbushe tu Mkuu 2004 wakati Glazzer wanafanya michakato ya Kununua hisa za Timu Man united ilikuwa haidaiwi hata Sh 10,

Ila Toka Glazzer aje tunadaiwa kama 500M pounds madeni na zaidi ya 1B pound imetoka kulipa riba ya Deni, bila kusahau Dividends, hivyo tunaongelea Around 2B zimetolewa Kwenye Club kuingia kwenye mifuko ya Hao parasite.
 
Old Trafford sijui mchawi ni nani pale. Sometimes ukiwalaumu matajiri ten years huko wame fund wamenunua Sana wachezaji. Pale recruiter ninamashaka nao
Wame fund kumnunua mchezaji gani? Sababu wao wanaangalia marketable players kuliko watu wanaokuja kutu improve, tulikaa Bila Right winger toka Nani aondoke mpaka juzi kaja Sancho, Tumekaa Bila DM wa uhakika miaka Mingi tu, unakuta Timu position moja ina watu hadi 5 halafu position nyengine hakuna kabisa watu Tumlaumu nani? Sababu Head wa Recruiting ni wao wenyewe Bodi na Woodward alikuwa kibaraka wao.
 
Man u wafanye faster kabla jamaa hawajastukia.
 
Sema mimi Rabiot naona atatufaa, ni Design ya wachezaji kama Fletcher, sio key player wala sio mbovu, anakimbia na kujituma sana, anapiga pasi, anakaba, ananguvu etc.
 
Jamaa wafanya wa fundraise 5B nadhani Kwa lengo la kulipa deni nk.

Lkn iki involve grazer off quite
 
Erik ten Hag would like a goalkeeper that can genuinely challenge David de Gea and, if one becomes available, the sanctioned funds of £7m could go higher.
[lauriewhitwell]

----------------
Tuwe wavumilivu mpaka msimu ujao, sidhani kama Onana ataweza kumweka benchi Handanovic huko Inter Milan.

Hivyo msimu ujao tunaweza kumshawishi Kwa urahisi zaidi.
 
Erik ten Hag confirms Anthony Martial and Victor Lindelöf will be out for #mufc's game against Brentford. The squad situation is "still the same"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…