sio kutegemea kitu ila hata usajili tu hawa watu wanazingua de jong anaeza kwenda chelsea hukubali bado kwamba hawa jamaa wamefeliDah yani nashangaa fans wenzangu mnavyo lalamika yani hivi mlitegemea nini cha ajabu man u tutafanya msimu huu.
Yani kocha hata mechi 10 ajamaliza kelele mbona tulikubalia humu kuwa msimu huu tusitarajie makubwa mmekuwaje hivi.
Hivi mnajua mki panic mashabiki mna mpa kocha nae pressure ya kufanya nae a panic.
Mimi kama allypipi kwangu kwenda big 4 au kushinda ueropa naona ndo yatakuwa mafanikio makubwa kwetu msimu huu hakuna jipya.
Nakushauri tu kama una tegemea makubwa kutoka kwa Manchester united msimu huu bora uache kufatilia mpira tu Mpaka pale utaposikia mambo yapo sawa.
hata Ac milan wamekaa muda lakini wamevumilia msimu ulio kwisha wametwaa taji.
Inabidi tu tukubali kwamba kwa sasa hatuna uwezo huo wakujilinganisha na liver,city
Tuvumilie tu ndo timu yetu.
Sio mbwa nitakuita ku.ma yenye maji.MANCHESTER UNITED AKIONGOZA LIGI HATA KWA SEKUNDE TU NIITENI MBWA NIMEKAA PALE [emoji117][emoji117][emoji117]
Unatoa siri za marehemu baba akowe nadhani umezaliwa na wafira.naji sababu hauwezi muita mwanamme dada, lazima baba ako alishafumuliwa fumuliwa na mashemeji zake, so unadhani kila mwanamme ni kama baba ako.
Ile ya maza akoSio mbwa nitakuita ku.ma yenye maji.
Nyie kuweni basi yani kisa ushabiki ndo mtukanane Tanzania sijui tupoje yani.Ile ya maza ako
Nakubaliana na wewe.Ngoja tuone uzuri atakuja kama low profile player huenda akatulia
Povu Ilo asee slow it downSio mbwa nitakuita ku.ma yenye maji.
ETH anajua kukosekana sita ya ukakika kunamuangazia Sana captenCha ukweli sema basi wanamuonea yy wakati uwanjani wanacheza 11.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Oya nyumbu eeh ka brentford hakooo kanakuja huku kanatafuna Karanga mbichi
si Kila kinachoingia mjini kinapaswa kuigwa na walimwengu.Nyie NYUMBU huyu mtu mtamfanya nini endapo ikiwa kweli?
Man United wanaajiri makocha kwajili ya kuwadhalilishaRabiot has been on United’s list all summer and gained Ten Hag’s full support after being proposed by United’s recruitment team.
Maneno ya Laurie whittwell
---------------------
- vitinha - euro million 35 amekwenda PSG
- bissouma - paundi million 25 amekwenda totteham
- paredes - paundi million 15 anakwenda juventus
- Konard laimer - paundi million 25 anagombaniwa na Bayern kutoka leipzig
- Ibrahim sangare - euro million 30 yupo psv
- Douglas Luis - paundi million 15 hadi 35 yupo Aston villa
- Ongeza na wa kwako wewe msomaji
Sajili za ten hag inaonekana zimemalizika baada ya kukawama dili la de jong, kifuatacho sasa ni sajili za timu ya wasaka wachezaji. Timu hii ndio iliomchagua wan bissaka katika mabeki 804 waliokuwepo ndani ya database yao.
Na huyu akishindwa ni bora timu ivunjweMan United wanaajiri makocha kwajili ya kuwadhalilisha