Badala ya kudeal na matatizo yetu ambayo kimsingi ni makubwa, sisi tulianza kutafuta mchezaji mmoja wa kuangushiwa lawama.Kuna vitu ni rahisi sana kuona, yeye ETH ajiulize ni timu gani Top6 pale EPL MACFRED wanapata namba ndio atajua hana timu.
Timu yetu ni mbovu mno,yani ni mbovu kupita maelezo, nilisema humu,sikutegema hadi ligi inaanza hatujanunua DM makini.
Kwa ubovu wetu,baada ya kupata kocha na dirisha kufunguliwa,kabla ya kwenda preseason tulipaswa kuwa tumenunua wachezaji sio pungufu ya sita ili aanze kujenga timu mapema.
Sajili zote za saiv zinamwaga moto...Yale ya msimu uliopita mmeyaanza tena?[emoji23]
Badala ya kudeal na matatizo yetu ambayo kimsingi ni makubwa, sisi tulianza kutafuta mchezaji mmoja wa kuangushiwa lawama.
Hiki kinachotupata ni halali yetu.
Ronaldo jeMctominay,rashford na shaw ni matakataka