Huyo maguire sijui wa nini aseeHuu msimu kuna kushuka daraja, kwa kiungo cha Mctominay na beki ya Maguire kule nyuma, hakuna mahali team itaenda hii
Hahahahaha pakiti pakitiYani sioni namba 6 kama yupo umo ndani
Inama vizuriTunapelekewa moto
Nilipata kusema[emoji115]Brighton hii lakini mtakalishwa vizuri tu
Kibaya zaidi weakness zenu zipo waziwazi
😄😄😄😄😄[emoji599]BREAKING
Klabu ya Manchester United imejiondoa kwenye michuano ya ligi kuu ya England [emoji1022] (EPL).