Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Southampton walichokifanya msimu huu ni kuwatajirisha manchester city kwa kuwazawadia takribani paundi millioni 30 za usajili baada ya kuwanunua wachezaji wawili kutoka team B.

msimu uliopita walimaliza ligi wakiwa ni dhaifu hivyo nilitegemea msimu huu wataingia sokoni kwa kusajili wachezaji sahihi Kwa bei sahihi ila imekuwa kinyume chake.

Wasipojiangalia watagombania nafasi ya 17.
Ile nidhamu yao ya ukabaji wa nguvu leo sijaiona.
 
Everton waliepuka kushuka daraja msimu uliopita, wamemuuza richarlison na baadae kusajili mchezaji asiyefikia daraja la mchezaji waliyemuuza.

Wameanza ligi huku safu ya ushambuliaji wakitegemea zaidi miujiza ya bwana mdogo aitwae Gordon na Gray.

Eneo la midfield wanamtegemea doucoure na iwobi na kama haitoshi Bado wameendelea kumshikilia dele Ali.

Pengine wanasubiria Kwa mara nyengine tena muujiza wa kutoshuka daraja.

Wasipokuwa makini watagombania nafasi ya 18.
 
sawa mpira biashara mbona barca wanawakati mgumu lakini wanajitahidi kufanya usajili kwa kila namna wanajua bila hivyo hawawezi kushindana na madrid
 
Leo asubuhi na mapema nimeamka zangu kwenda kufanya mazoezi navyozidi kutembea nikawa nasikia kama kelele hivi.

Jinsi navyozidi kusogea nazo zile sauti nazo zilikuwa zina zidi kuwa kubwa maskioni mwangu nikaanza kupata hofu kwamba kuna nini mapema yote hii hata akuja kucha vizuri watu wanalia


Nika bahatika kumuona mzee mmoja hivi analia sana yule mzee nikafika pale nikamuuliza mzee wangu pole kwanza, nataka nataka nijue unalia nini mzee wangu sikuamini jibu alilonipa yule mzee kwamba furaha
ni kubwa pale mtahani mpaka watu wanalia kilio cha furaha.

Ooh ni ilo tu mzee sasa furaha ya nini iyo mzee wangu akanambia kijana we acha tu ile kitu inayo tupaga burudani kila wiki imeludi kwaiyo hapa tunalia vilio vya furaha kijana.

Bado sikukoshwa na lile jibu alilonipa nikamwambia mzee funguka basi Wat's wrong alicho ni jibu sasa.

Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha


prediction

Manchester united 2 Brighton 1

time:10:00
 
Vilaza Kama wewe mnahitaji kuombewa mpo wengi sana
 
ulipokuwa mjinga AU ulipokuwa mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…