Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Dah mkuu fanya jambo moja la kukushauri kafuteni uzi wenu wa man city kule mje huku tu maana unajitahidi kupiga kelelekule wenzio kimya nakushauri uje tu huku.
Masikini man UTD ,wanaishia kwenye historia amkeni nyie nyumbu timu imeshakufa [emoji23][emoji23]
 
Allypipi habari yako

No Martial, No Ronaldo (not fit and ready), Man United are in a terrible position to start the new season.
 
Ronaldo hata kama mnamchukia, ndio yupo, toa rashford hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusidanganyane mchezaji gani wa timu yetu ana perform kwenye timu ya taifa.
Golin.
De Gea hana namba Spain

Defenders
1 Shaw hana namba ya kudumu.
Wan Bissaka hajawahi kuitwa timu ya taifa.

2. Wan Bissaka hajawahi kuitwa.

3. Diogo Dalot hana namba ya kudumu.

4. Lindelof sawa
5. Maguire maybe
6.Bailly timu yenyewe haina competition.
7.Martinez hata kucheza hajaanza.


Midfielders.
1. Fred safi
2. Anachezeshwa beki
3. Bruno hana namba ya kudumu kikosini na performance yake siyo ya kutisha.

Strikers.
Hakuna ukiondoa Ronaldo.

Hebu tueleze ni mchezaji yupi anayeperform kati ya hao kwenye timu ya taifa?
 
Taarifa zinadai Barcelona wamekataliwa na La Liga kuwasajili wachezaji wao watano mpaka watakapotunisha zaidi mfuko wao wa fedha.

Wiki hii mtaalamu David ornstein aliripoti ya kwamba Chelsea wamejiingiza rasmi kwenye vita ya kumwania frenkie de jong,

masaa mawili yaliopita muandishi Paul hirst naye amedai ya kwamba endapo frenkie de jong ataondoka Barcelona basi huenda akatua chelsea.

Tokea tuanze kuvumishwa na usajili wa frenkie imeshatimia wiki takribani 12, kumkosa frenkie dhidi ya Chelsea maumivu yake ni makali zaidi kuliko maumivu ya kutahiriwa kwa shoka ya kuchanjia kuni.

Mungu atuepushie kikombe hicho.
 
Timu kubwa kama Manchester United kuwania saini ya mchezaji mmoja kwa wiki 12 bila mafanikio ni aibu kubwa sana.
 
Nikifikiria kikosi cha United cha msimu huu nakosa raha kabisa. Huenda tunaelekea kwenye wakati mgumu kuliko kipindi chote tangu nianze kuwashabikia Manchester United.

Nani atakuwa mwokozi wetu msimu huu, Zidan Iqbal ? Fecundo Pellistri ? Hannibal Mejbir ? Amad Diallo ?

Dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…