Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,531
nasemaga hapa. this is one of the very stupid person in the city of manchester. the most stupid i think.Ronaldo auzwe tu hizi sasa ni dharau kwa wachezaji wenzake, mashabiki na timu kwa ujumla. Sababu ipi ya msingi imemfanya aondoke uwanjani kabla mechi haijaisha?View attachment 2310262
Timu haiko serious bora aondoke tuRonaldo auzwe tu hizi sasa ni dharau kwa wachezaji wenzake, mashabiki na timu kwa ujumla. Sababu ipi ya msingi imemfanya aondoke uwanjani kabla mechi haijaisha?View attachment 2310262
Na Dalot ameondoka mkuu au inawahusu walioanza tuRonaldo auzwe tu hizi sasa ni dharau kwa wachezaji wenzake, mashabiki na timu kwa ujumla. Sababu ipi ya msingi imemfanya aondoke uwanjani kabla mechi haijaisha?View attachment 2310262
Inaonekana wewe jamaa unaujua mpira vizuri sanaAtahitaji kufanya squad overhaul ili aweze kutengeneza timu imara anatakiwa kuachana na David De Gea.
Afumue safu ya ulinzi yote na afumue midfield yote.
Anatakiwa kutengeneza attacking trio nyingine ambayo iko serious na makombe.
Ana wachezaji wazembe sana ambao kwa modern football ni kama hawana cha kumpa.
Lakini inaonekana bodi ya Man united haiko serious na usajili katika timu yao ni kama wanajaribu kubahatisha bahatisha.
Kikosi alichonacho hakitaweza kupambana mpaka katikati ya ligi.
Ole aliokolewa na Bruno Fernandez angefukuzwa kabla ya 2021.
Je tutegemee nani mwingine wa kumuokoa Ten Hag.
Degea amekuwa consistent sana kufanya makosa kiasi kwamba anaigharimu timu kwenye hatua nyingi nyingi sana.
United kama wataingia top four msimu huu siyo kwa ubora wao ila kwa sababu timu nyingine tu hazitakuwa bora.
Angalia Arsenal msimu uliopita alifanya vizuri kuliko sisi lakini usajili amefanya mzuri kuliko sisi tena kwa kuziba maeneo muhimu waliyoonekana kupwaya.
United wanahitaji wachezaji watano muhimu kikosini kwao lakini msimu huu hakuna hata mmoja muhimu aliyesajiliwa ni kama wamesajili squad players .
Ten hag anamkubali huyo MTU zaidi ya mjuavyoCHONG AUZWE USIKU HUU HUU TU
Mwanzoni nilikuwa nafika lakini matusi yalinikimbiza.Inaonekana wewe jamaa unaujua mpira vizuri sana
Uwe unatembelea kule jukwaa la gunner. Karibu sana pande zile mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] jukwaa la matusi.Mwanzoni nilikuwa nafika lakini matusi yalinikimbiza.
Mtu mzima kutukanwa na mtoto mdogo anayeishi kwa wazazi wake inakera sana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] jukwaa la matusi.
Kule Kuna watu wamekosa malezi ya pande mbili, mashabiki wengi wa kule wamelelewa na single mothers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tatizo mmemuandama sana faza.. siku akija kukipiga konzi kipara cha ten hag ndio mtamuelewa![emoji38]
View attachment 2310370View attachment 2310371View attachment 2310373
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kule wanawezana wenyewe kwa wenyewe, mimi hua naenda kuwatia moto kidogo tu halafu faster nasepa, wachangiaji wa kule wengi ni madereva wa bodaboda, lazima ujitoe wazimu kwanza kabla ya kuchangia kwenye jukwaa lao.Mtu mzima kutukanwa na mtoto mdogo anayeishi kwa wazazi wake inakera sana.
Mbona nimendownload hii man u app lkn inatuma matokeo tuu Mimi nataka live Mkuu.MUTV, kupitia Man Utd App pamoja na StarTimes decoder & StarTimes App.
Hapa kwann hawakumpa Ronald u capten??Wachezaji walio cheza jana naona hapa ni mmoja tu eriksen wengine naona wana pumzikaView attachment 2310128
Tukiongea tunaonekana sisi tuna ishu personal na Ronaldo..Ronaldo auzwe tu hizi sasa ni dharau kwa wachezaji wenzake, mashabiki na timu kwa ujumla. Sababu ipi ya msingi imemfanya aondoke uwanjani kabla mechi haijaisha?View attachment 2310262