Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,524
hivi Ten hag anaelewa upuuzi ulio kichwani mwa huyu jamaa?Khaa! Kweli uchawi upo hadi ulaya.tumepiga kofuli asiondokeView attachment 2309034
Kutoa mawazo kwa kuanza kutukana au kukashfu wengine ni utoto.Lakini wapumbavu wachache wakajaribu kutupa mzigo wa team mbovu kwa mtu mmoja (ronaldo), wakati haiihitaji akili nyingi kujua kuwa tuna magarasa yamejaa hapo, tena ambayo hatuwezi kuyauza popote.
Ukiwatoa De gea, Malacia, Ronaldo, Eriksen, Martinez hapo Man U tuna wachezaji gani wa maana?? (Fred ni mzuri ila hana consistency).
Ngoja tuone next week mambo yanaanza...hivi Ten hag anaelewa upuuzi ulio kichwani mwa huyu jamaa?
Leo tutakuwanna beki Martinez. Maguire wanamuonea haya Gani. Angekuwa ana cover number 6 lkn Dah sipendi kabisa performance ya Maguiremkitaka kuamini tuna wachezaji wa hovyo angalia perfomance ya wachezaji wapya eriksen na malacia kisha waliobaki ukitoa fred ndo mana wengine tunasema bado usajili haujatosha yale matakataka ndo mana Ralf alisema waje 10 wapya
Anajiita kingEtH anaanza kum-accomodate Ronaldo kikosini..mimi nipo hapa nikisubiri ani-prove wrong maana naona yanaenda kuwa yale yale ya msimu uliopita..timu kumchezesha tu Ronaldo,weak ni pressing,poor marking and positioning na pia kushusha confidence ya wachezaji wengine.
Kina Sancho,Rashford na Martial wanaweza kila mmoja kupiga double digit goals kwenye EPL kama wataaminiwa but i'm not saying they are all good enough..na kama mpango wa kuachana na Mbinafsi Ronaldo ungekamilika tungekuwa na straika wa uhakika damu changa kama Lautaro Martinez.
/Lakini pia hivi si ilibidi hadi sasa tuwe na DM wa uhakika kikosini?..
/RB bado tunavuja japo Dalot pre-season hii swala la offensive amejiimarisha kiasi..ilibidi tumtoe AWB then tupate RB mwingine mwenye attributes zote nzuri ya diffensive na offensive.
Anyway,ninywe tu bia nikisubiri baadae kuwaoga kina Savage na Iqbal wakikichafua pale katikati. Hopefull Martinez ataanza pia. But yule Mbinafsi na Mjaa Ego naskia pia ataanza,kitu ambacho kitanikera kweli.
Hivi Benni McCarthy ana nn cha ziada mpaka ateuliwe kuwa kwenye benchi la ufundi? Hiyo Amazulu ya Africa kusini mbona hajaipa maajabu yoyote!
Man United engineering their own downfall.Hivi Benni McCarthy ana nn cha ziada mpaka ateuliwe kuwa kwenye benchi la ufundi? Hiyo Amazulu ya Africa kusini mbona hajaipa maajabu yoyote!
Eti,The king will play on Sunday..ushuzi mtupu.Anajiita king
Yani nililuwa na matumaini kidogo walau tutafanya jambo msimu ujao lakini baada ya kuangalia hiyo mechi, aisee EtH ana kazi ngumu sana.Manchester united. Vs Atletico Madrid ,
Imenikatisha tamaa Sana. ETH anawakati mgumu Sana kuijenga timu.
The likes of Rashford, Maguire, dalot, Marshal na Fernandez Wana performance ya kiduanzi Sana. Wakati mwingine wanawapa kazi kubwa wenzao.
Does that mean kwamba Ten Hag sio chochote sio lolote..United itabaki kuwa ileile sio??Kama itatokea Man United watatwaa ubingwa wa ligi katika miaka mitano ijayo kwangu litakuwa jambo la kushangaza sana.
Mkuu nilipoona kwny hili suala mpk babu fergie ameenda carrington siku ile nikajua hakuna la maana zaidi ya kum please huyu jamaa. Ufaza hautaisha.Eti,The king will play on Sunday..ushuuzi mtupu.
Rayo Vallecano unaidharau??Manchester united inacheza leo na dunia nzima yote ina furaha leo
Prediction
Manchester united 6 Rayo vallecano 1
Time:12:00 Jioni.View attachment 2309800
Hizi mechi zinaonyeshwa channel zipi WAKUUYani nililuwa na matumaini kidogo walau tutafanya jambo msimu ujao lakini baada ya kuangalia hiyo mechi, aisee EtH ana kazi ngumu sana.