Ndio maana ronaldo akawapa wake up call, man u hatupo makini nowdays!Timu yetu haiko serious tu tusubiri msimu basi. Hizo sajili 2 hazitufikishi popote hata de jong akija atacheza msimu mzima?? Siku akiumia miezi miwili tunarudi na kina macfred hehehe okay tulihitaji watu wapya hata watano au 6 kuanza kua serious na ligi. Tunashangilia mechi za pre season sijui wacha tuonee.
Haitaji Man U kwa sababu ya UCl kama ambavyo Ronaldo naye anaikacha Man U kwa sababu ya UCL na hakuna jitihada za kufanya usajili wa maanaSio kwamba hayupo tayari nilivyosoma gazeti la Marca ni kuwa hayupo tayari kukatwa hela zake na kama kwenda Man U ni mpaka sloped usd 17m anazowadai Baraca ambao wanataka waktupoe Man U bila kumlipa chochote
Ronaldo yupo tayari kuacha kucheza mpira kuliko kucheza Europa,[emoji23]brand kubwa ile imefanya makubwa CL Leo hii wahuni wachache masharobaro kina sacho ,rashford na united yenyewe impeleke kucheza Europa motherf**kAmekuambia..
Umekua mbea kiasi hicho kwanini?De Jong haitaki hata kuisikia Manure
Kasema akilazimishwa kutoka Camp Nou basi ni darajani.
Kukosa UCL kitawagharimu sana
Shibe hiyoDe Jong yuko tayari kucheza beki.. kukatwa mshahara.. ilimradi tu asije kwenye hili timu.
Aliwahi kuongea na Luis Van Gaal akampanga hali ilivyo kwenye hii klabu yenu ya ajabu, very bad dressing room atmosphere, No UCL..
Sasa hivi anaenjoy na Barca yake. Tena kwenye mechi ya juzi ya kirafiki dhidi ya Madrid akachezeshwa beki no. 5 na kakamua vizuri tu, kisha anafuraha.. SASA NYIE MNATAKA AENDE WAPI NYIE NZI WEKUNDU?
Achen mbwembweKitasa kipya ndani ya OT una ambiwa jamaa anaweza kaba mpaka akili za wapinzani wanachowaza.View attachment 2305774
Yeah mtaimprove ila top 4 mxahauNmetoka kuangalia training session ( mazoezi) ya man u chini ya 10hag.
Personally I HOPE A LOT
Yeah mtaimprove ila top 4 mxahau
Roma haikujengw kwa cku moja...hata izo Liverpool na city zili delay kabla ya kuwa kwenye form hii ya sasaKaka tusubrie....ERA COMES TO AN END hii ni kauli ya 10hag kwa city na liver na lzm itatimia
United is back, ETH atatufikisha tena mpm kweny mafanikio
1. Barca ni brand kubwa kushinda Chelsea.Kitoabu, Daemusin, Chief Mkwawa, Bavaria
Nje kidogo ya nyumba yetu, hivi ni kitu gani kinaendelea Chelsea? Mbona wachezaji wengi hawaendi? Na ofa zao huwa zinakuwa nzuri kuliko hata wapinzani wao. (Raphinha na Jules Kounde)
Jules Kounde anaenda Barcelona kwa Pound 46M na mshahara wa euro 7M kwa mwaka hapo hapo ofa ya Chelsea ilikuwa pound 55M na mshahara wa euro 12M kwa mwaka. Naomba nipewe ufafanunuzi kidogo hapa nini kinaendelea?