Mchezaji anakuwa ghali kama uwezo wake hauendani na price tag yake na thamani ya mchezaji inajumuisha vitu vingi uwezo uwanjani, mkataba n.k. United wana uwezo wa kumnunua mchezaji kama De Jong ndiyo maana wapo tayari kutoa hiyo pesa.Ten hag alisema hatosajili wachezaji aghali, inamaana hiyo bei tunayosikia ya DeJong sio aghali? huyu Ten hag awe controlled kwenye hii issue asilete michezo kama ya Ralf Rangnick alafu aje asepe huku anaipaka mbovu management na board.
Bado hayupo levels za Haaland. Potentially anaweza kufika, asifike au zaidi ya levels za Haaland.United tunamchukua cf SESKO wa RB SALZBURG dogo yuko vzr km halaand tu
RENT FREE [emoji23][emoji23][emoji23]Nyie msifieni tu huyo kiparangoto wenu. Halafu tukutane ligi ikianza..
Kwani ligi haianzi tu?!
So unaona FdJ atakuja 100pc???Hii ndiyo shida wachezaji anaowapendekeza kocha hamuwataki kwa sababu zenu binafsi ili akipewa second choices akifeli muanze kulaumu tena. Una uhakika gani hao "quarter the price" players siyo the next Di Maria?
Mpaka Barca wanakubali ada ya uhamisho ya De Jong it means wapo tayari kumlipa De Jong, Barca wanaitaka pesa ya United na ili waipate ni lazima wamalizane na De Jong kwanza.
EtH siyo fala kukubali dili liendelee akiwa hana uhakika wa kumpata mchezaji huku ligi ikikaribia kuanza. Kwasababu EtH na FdJ wana mawasiliano tegemea kuna tusiyoyajua nyuma ya pazia.
WtfSources involved say it is increasingly more likely that Cristiano Ronaldo stays at #mufc, but there is still a lack of clarity.
[@David_Ornstein]
Yes uwezo wake ni mkubwa sana.Babu unamkubali sana huyu jamaa.
Sasa Huyo De Jong Watamalizana Nae Lini?...Maana Kama Ni Kweli Hawana Pesa Ya Kumlipa Hicho Anachokidai, Mbona Wanafanya Sajili Kubwa Kubwa Kwenye Dirisha Hili, Raphinha (€65M), Lewandowski(€50M) Na Watamalizana Na Kounde Muda Si Mrefu Kwa €60M...Mimi Hata Siwaelewi Hao Barca Pamoja Na Huyo De Jong Wao.Hii ndiyo shida wachezaji anaowapendekeza kocha hamuwataki kwa sababu zenu binafsi ili akipewa second choices akifeli muanze kulaumu tena. Una uhakika gani hao "quarter the price" players siyo the next Di Maria?
Mpaka Barca wanakubali ada ya uhamisho ya De Jong it means wapo tayari kumlipa De Jong, Barca wanaitaka pesa ya United na ili waipate ni lazima wamalizane na De Jong kwanza.
EtH siyo fala kukubali dili liendelee akiwa hana uhakika wa kumpata mchezaji huku ligi ikikaribia kuanza. Kwasababu EtH na FdJ wana mawasiliano tegemea kuna tusiyoyajua nyuma ya pazia.
£85M ni hela ya kawaida kwenye usajili wa sasa.Ten hag alisema hatosajili wachezaji aghali, inamaana hiyo bei tunayosikia ya DeJong sio aghali? huyu Ten hag awe controlled kwenye hii issue asilete michezo kama ya Ralf Rangnick alafu aje asepe huku anaipaka mbovu management na board.
90%So unaona FdJ atakuja 100pc???