Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Vipi timu yenu inacheza vzr ? Maana astonvilla Ni kipimo kizuri, timu nyingi zipo Kariba hiyo hapo epl ukitoa zile top 6
 
Vipi timu yenu inacheza vzr ? Maana astonvilla Ni kipimo kizuri, timu nyingi zipo Kariba hiyo hapo epl ukitoa zile top 6
So far kwenye attack tupo nusu ya tunachotaka kukiona, defense na midfield bado yaleyale tu. Maguire na Shaw hawana consistency leo wanaupiga mwingi kesho wanachoma.

Kwenye soka hakuna miujiza, timu ku-improve ni suala la process angalau kuna mabadiliko yanaonekana taratibu tutafika tu.
 
Vipi timu yenu inacheza vzr ? Maana astonvilla Ni kipimo kizuri, timu nyingi zipo Kariba hiyo hapo epl ukitoa zile top 6
Bado tabu ipo palepale kipindi cha pili Villa walikua bora zaidi kwa kila kitu yaani utafkr walikua wanacheza na lipuli walitawala dimba watakavyo wamekosa ukatili tu golini ila wangeshinda mengi sana
 
Sasa wakuu naona mnalalamika kipindi cha pili tumecheza hovyo sasa palikuwa pana kiungo gani pale wakusema tucheze vizuri kumbuka.

Viungo wote walikuwa wametoka na wale madogo wasingeweza ku perform bila kiungo wakueleweka hata mmoja.

kwaiyo tungezingua kipindi cha kwanza ndo ningeona tatizo.
 
Wazee wa nne nne ,astonvilla kawatoa kamasi ...

Hii ndio united ninayoijua Mimi Sasa ,mnaongoza goli mbili m apigwa come back ,maisha ni Yale Yale tu ,hata wachezaji ni wale wale ..

Kama unafstilia pre season huwezi ongea huu utopwix team ina fanya sub zaidi ya 6 then unategemea rhythm iwe ile ile are you serious
 
istoshe kwanza katikati ya gemu mvua kubwa sana ilinyesha hali iliyopelekea hata wachezaji walikua hawaonani vizuri
 
sababu huyu kocha tayari alianza kudevelop very irrational analysis of his squad. well, so far this man utd is already better than the one we have had two months ago. But the way some of us had started to portray and project it was on the overrating side.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…