Liverpool wana MosDef united tuna Daemushinhapana, sijioni kuwa na sifa ya uchambuzi wa mpira ila ni mzungumzaji wa mpira.
kwa fikra zangu watu aina ya george ambangile na mosdef ndio wanaingia kwenye kundi la wachambuzi wa mpira na matendo yanayofanyika ndani ya uwanja wa mpira.
sijui nimechanganya madawa
Uzembe wa degea ulifanya tukafungwa moja na crystal palace Leo inabidi tupate cleen shitManchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha[emoji16][emoji16]
Prediction
Manchester united 3 vs Aston Villa 1
GGMUView attachment 2300752
Mungu hawezi saidia jitu linalojiita shetani mwekundu [emoji23]Saiv tunacheza km timu na attractive play style ko sitarajii ttakosa top 4....Mungu atusaidie
Kobbie Maino ana tactical quality kubwa sana pamoja na umri wake mdogo.mkuu hili tulishawahi kulijadili miaka miwili nyuma na nakumbuka kwenye huo mjadala tuliwazungumzia zaidi foden na greenwood kama wachezaji vijana,
ukiwa na timu yenye ubora ni rahisi kwa hao wachezaji kuingia kwenye timu kubwa na kufanya vizuri na hilo ndilo jambo kubwa tulilolitabiri litamtokea foden ndani ya manchester city kwa sababu ya wale waliomzunguka ndani ya uwanja.
jana kwenye mahojiano ya kujiandaa na mechi ya leo erik ten hag alijibu swali hilo la wachezaji vijana kama ifuatavyo:
I cannot give all young players the chances they maybe deserve, because we have to construct a team. I see them daily in training, so I get a really good impression from them. We can develop them by good plans.
Not all youngsters have gained minutes, I have to set priorities, but in future they will play an important role I think for building Man United."
kwenye list yako ungelimuongeza kobbie mainoo,
Ya nini kwenye hii forum??
Karibuni kutazama kazi nzuri toka FILAMU PICTURES,
Mc tominay hayupo hata sub,nadhan atafanya half timeEtH angeanza na dogo mmoja hapo kati bana kama Savage hivi..ili tuone kama madogo wapo tayari kidogo au badobado
Mbona sioni utofauti wa mpira wa sosha na wa 10 hag [emoji16]Tunacheza soka safi sasa mnae mnataka ronaldo sijui wanini yani.
Mbona sub ishafanyika kitambo mkuu.Leo hamna sub mpaka muda huu