Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,060
- 43,477
Hapo wenyewe wamesaidiwa graph inaanzia 0, ingekuwa lina Negative wangewapita hadi inter kwenye negative
Wiki lile alilosajiriwa Franck Kessie waliuza 10% ya haki za matangazo ya TV kwa kampuni ya kimarekani (six street) - euro 207.5M. Hapa ndipo walipopata pesa ya usajili na mshahara wa Ralphina.Barca lazima wamwachie FDJ hata iweje.
Hawawezi register Raphina na Lewandowski mpaka wahakikishe wana balance vitabu vyao.
Duh hata barca walofilisika wanatengeneza timu lewandowski tayari wanamaliza na bernado silver hebu linganisha uwezo wa mchezaji mmojammoja wa liver,man city,madrid bayern na ht barca
Hahahahaa sikiliza Jombaa sisi na timu zote ulizozitaja hapo juu tupo ktk mipango tofauti kabisa.ngoja ligi ikianza tutaona hapa mliosema huu usajili unatosha
Hivi inarushwaga DStvHaya masaa ya Australia nayo yakiboya..game kesho saa saba mchana
Zilizopita zimerushwa chanel 223Hivi inarushwaga DStv
Dstv wameonesha game moja tu,nadhan hii ya kesho tuitafute sehem nyingineZilizopita zimerushwa chanel 223
Ila awe realistic sasa.Ten hag leo kaongea point sana kuhusu De jong.
Akiihojiwa na the athlet kasema tunahitaji true holding midfielder,na wapo wachache sana wa viwango.
So naelewa kwa nini kamkomalie De jong
it makes sense, hizi clubs ni business entities.
Hizo mbili wanazipatia wapi Hawa?Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furahafull shangwe weuwee.
prediction
Manchester united 4 vs Crystal palace 2View attachment 2296093
Naamini Shaw & Martial wanaweza kufundishika na kuimprove.Ten hag ameamua kuwa honest
Try the best with squad, win every game and success
Why? Because this is man u, that's y anakua na high expectations
Tuanze na cr7,
Kuna faida nyingi akistep aside kuliko awepo kwenye squad
Kwa umri wake, work rate ya pressing ni kujidanganya
New modern football inasema mtu wa kwanza kuanzisha mashambuliz ni goalkeeper na mtu wa kwanza kuanza ukabaji ni mshambuliaji.
Let us succeed or failed because of him
(Sijakataa msimu uliopita alisaidia sana, )
Cr7 kama player at the same time ni bussines/taasisi
Kind of player hav too much Ego, sometimes anafanya dressing room ijigawe.
Maguire
Huyu ubora wake utategemea midfielders, hakuna beki ambae akiletewa moto mara nne mfululizo asipoteane
Mkipata kiungo aina ya ngolo, partey au fernandinho kutakua na balance sana
Kuliko huyo dejong
Hakuna sehemu niliposema dejong hafai
Bruno mchezaji mzuri, so attacking force itakua poa
Elanga sijui bado hana utulivu au vipi, but ten had anaweza akamfanya awe best
Sancho pia ni best, tumemuona last season
Namba tisha, yan mshambuliaji hapa ndio tatizo lingine litaanza
Kama ya arsenal tunacheza mpira mfungaji hayupo. Dakika 90 game inaisha bila bila au tunapigwa kabisa
Na manunuzi ya CF muwe makini majirani
Nazani mnakiona kinachoendelea kwa Liverpool na Nunez wao
Lisandro Martinez ni usajiri mzuri coz ata sisi tulimtaka ila pesa ndio imeamua. Siwezi kusema mmepigwa
Ila tahadhari ninayowapa ni kuwa akatumike kwenye nafasi yake
Wafuatao inabidi waondoke kwa kutaka au kwa lazima
Cr7
Cavan
Wanbisaka
Shaw
Mata
Martial