Sidhani kama unaijua Man U kuliko mimi, anyway nikiwa andazi sijui wewe nani?
Everton wenyewe wanafurahi kuondoka kwa Moyes, kwamba sasa wanaweza hata kufuzu kucheza CPL.
Sidhani kama unaijua Man U kuliko mimi, anyway nikiwa andazi sijui wewe nani?
Everton wenyewe wanafurahi kuondoka kwa Moyes, kwamba sasa wanaweza hata kufuzu kucheza CPL.
why dude yhey do so..
Tuambie aje nani?
He was given a red card when he was a Kop by terribly fouling John Evans...
Mkuu wangu Belo, lazima apatikane kocha anaiweka timu ktk kushindana siyo kushiriki.
Siwezi kusema aje nani ila naamini sasa Moyes hakuwa chaguo sahihi. Hata Everton wanaenjoy kuondoka kwake.
Umeulizwa nani sasa ndio angekuwa chaguo sahihi?
Swali jepesi kabisa chifu.....
Wapo wengi mkuu, hata Ed Woodward anajua kuwa wapo makocha kibao wanaoifaa
Man U kuliko huyu aliyechaguliwa kikabila.
Wapo wengi mkuu, hata Ed Woodward anajua kuwa wapo makocha kibao wanaoifaa
Man U kuliko huyu aliyechaguliwa kikabila.
Nzi we ni mbishi, tuendelee kuangalia mechi kaka